Uchaguzi 2020 Embu tuambizane ukweli, CHADEMA inatumia kigezo gani kusema itashinda?

Huku kwetu vijijini huyo mgombea wa CDM hawamjui hata kifogo. Zaidi ya 95% huku kwetu wanamkubali sana JPM. Suala la Corona limempa heshima kubwa sana JPM.

Naamini ushindi wa mwaka huu kwa JPM utakuwa ni Kimbunga. Hata CDM wenyewe kwa upande wa Rais wamesema watampa kura JPM.
 
Huu ni mwaka 2020 na sio mwaka 1995. Vijijini wanamjua Lissu vizuri mno na huko ndipo ambapo lissu atapata ushindi wa tsunami kabisa. Maana ccm hamjawapelekea milioni 50 wanakijiji, uchaguzi wa serikali za mitaa CCM waliuharibu, majimbo mengine watu wamelazimisha kupita bila kupingwa, barabara mbovu,pia watu wanakunywa maji kama matope na wakulima wamedhurumiwa malipo yao, sukari bei imepanda.

Na huko vijijini vyuma vimekaza mno. Ndugu zao waliopo mjini wanaowategemea na wao pia pesa hawana na vyuma vimewabana. Hata wewe pia najua kura yako utampa Lissu.

Mwaka huu Lissu ushindi atakaopata utavunja rekodi.
 
Chadema hakina uwezo wa kushinda. Kama huo ni ukweli kwanini maccm wahofie kuwepo kwa Tume HURU badala ya hii Tume FAKE!? Kwanini wahofie kura kuhesabiwa hadharani ili tupate mshindi halali na kuionyesha dunia kwamba Tanzania uchaguzi wetu ni HURU na wa HAKI!? 😳

 

Lazima ujue ata membe nae anauhakika wa kushinda uchaguzi, Lipumba nae the same ndo maaana wanafanya kampeni, lakini at the end lazima mshindi awe mmoja ambae ni JPM.
 
Malori + Harmonize + Dimond + Suchu (fiesta + wasafi festival) + madenti.

Ukifika mkutanoni kayatoe hayo makundi ndo utapata hesabu halisi.
 
Kigezo ni watu kuchoka na unyanyasaji uonevu uovu ufisadi wa utawala wa awamu ya tano awamu ya mtukufu mwenyekiti wa CCM.
 
Kwako binafsi labda lakini hakuna kijiji chenye wajinga wengi wa kumchagua Dikteta muonevu mnyanyasaji wa wapinzani wa kuwabambikia kesi na uonevu mwingineo mwingi
 
Nchi ina miaka 59 hakuna maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, pesa za viwanda pesa za maendeleo pesa za walipa kodi zinatumika kudidimiza demokrasia kuwahujumu chadema kuua upinzani kuwabambikia kesi na mambo ya hovyo yasiyo na tija kwa Taifa
 
Kwasababu chedema ni washindi siku zote na ndio chama pekee kinachoogopwa na kuhofiwa siku zote kuliko chama kingine cha upinzani, na uoga huo husababishwa na ukweli kwamba wanakila haki ya kushinda kama haki ikitendeka.
 
Hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu anaichagua CCM bali wanufaika wa mfumo kandamizi na uteuzi tokea kwa mtukufu ndiyo wanahaha kujipa moyo kuwa NECCCM Tumeccm watafanya uchakachuaji washinde kienyeji kwa njia haramu za kishetani
 
Bado sana mkuu, bado hatujapata upinzani wa watu wenye akili timam ambao tunaweza sema tujaribu kuwapa nchi.
Angalia kampeni za chadema kaskazini kuanzia kesho na zitakaporudi dar ndio utajuwa kwanini wanajiamini
 
Hapo ukiulizwa corona ni nini utatoka nduki upitilize hata kizimba cha mlango wako alafu bado unabweka tuu
 
Moja kwa moja hojani,

Mada hii imejikita kutaka kujua ni kwa kigezo kipi Chama cha Chadema kinatumia hadi washabiki na wanachama wake hasa mitandaoni kusema eti kitashinda?...
Ni kigezo cha uvutaji bangi nyingi Na kupost uzushi mitandaoni hivyo kujiaminisha yasiyo ya kweli
 
Umenena yaliyonyooka msitari.

CHADEMA ilikuwa na nafasi kubwa kushinda 2015.
√ Mgombea wao Lowassa, alikuwa na bado ana nguvu kubwa kisiasa kuliko Lissu, maradufu;
√ Mgombea Urais aliungwa na vyama vingine vya siasa kwa kivuli cha UKAWA;
√ Magufuli hakuwa na nguvu yoyote kisiasa ila uchapa kazi wake; na
√ CCM ilikuwa imemeguka vipande vipande kutokana na kuhama kwa viongozi wake wenye nguvu kisiasa.

Lakini hali ni tofauti kabisa kwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…