Embu tuchat wawili wawili humu

Aya bana nakuja leo nimebanwa site na mafundi. Nimeanza kujenga kibanda changu maana nimepata mrembo wakunizalia ila kasema sharti niwe na kibanda changu.
Hongera sana mkuu
 
Tulioduu Jana usiku hata ndotoni mje tuone tunaanzia wapi πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…