Embu tuchat wawili wawili humu

πŸ˜‚πŸ˜‚Niliota kunamtu wa jf kanikamatia balaa aje anipe afu tano yangu na story tuendelee hapa kwenye uzi 🀣🀣🀣
But kuna MTU uko crush nae humu....ukiwa tayari nambie nikusaidie kutag
 
Hahah

Sasa mbona ile nyingine ya mama wa nyuki ipo active!!!

mzabzab kuna mtu anajifanya bebi wako huku, njoo ukamate hii mtu ukaioneshe vile msomali anavyofia kwenye fiat...
Ni mwendo wa kurudi tena baada ya miaka kadhaa.Daa
 
Kuwa mpole na bado wakili hajakufokeaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€na kukulazimisha kujibu ambacho hauko tayari
Mi na wakili tumekutana wote jicho kungu so full kuregezeana....ngoja Dawa imkolee
 
Ninamarafiki humu vipenz kabisa siwez kuwatag wote kipenzi lakini ni watu wananielewa sana nachoshukuru wananiheshimu nami nawapenda sana sana
Yes cute,ndo maisha yenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…