Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muda wako wa kupumzika huuGood!😊
Ha ha ha ha ha haya mkuu.Nimemaliza wapi,wameturusha tarehe
Kuwa mpole na bado wakili hajakufokea😀😀😀😀😀na kukulazimisha kujibu ambacho hauko tayariHa haa,ni shidraa
😂😂😂😂😂😂😂Ila kizimbani hamna kuregeza ujue.Mi na wakili tumekutana wote jicho kungu so full kuregezeana....ngoja Dawa imkolee
Natania hawachelew kuja pm 😂😂😂Wapo wengi mbona,tulia Cute time Will tell
Bado upo mihangaikoni?Muda wako wa kupumzika huu
Hapana nishatoka mkuuBado upo mihangaikoni?