Embu tuchat wawili wawili humu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mnoo, mie cna hata.
Sawa kipenz,usiku mwema...tutachat kesho kuhusu masha na mafufu nikupe mkanda mzima mpaka walivyopigana chuma mboga πŸ˜‚ πŸ˜‰
 
Onho,Saudi tena😳
 
Sawa kipenz,usiku mwema...tutachat kesho kuhusu masha na mafufu nikupe mkanda mzima mpaka walivyopigana chuma mboga [emoji23] πŸ˜‰
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu unipe sahiv mwayaaa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu unipe sahiv mwayaaa.
πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚ nisije fungwa kwa umbea nisioujua...yaan sielewi kitu ...nami nasikia tu story zao juu juu ....mi niulize mambo ya a be che de.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…