Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😳😳😳😳😳Ninao watoto wengi sana mkuu,wewe tutafanya tu
P1 😊🤓Nakubali sana jamaa angu [emoji3]
Ninao watoto wengi sana mkuu,wewe tutafanya tu
Sawa,utanipanga nipangike bas
Ndo umekuja tuchat wawili sioNambie mkuu!? Mambo?
Kwanini unanisumbua, mwenzako niko kule natongozwa banaNajiona ninavyomsumbua mtu hapa..!
Cc Bantu Lady
Watoto sio kigezo cha kuuzuia mazungumzo yetu tena hao ndo watakuwa kichocheo cha wewe kunikubali .Ndiyo,ila ni kama umeshtuka mie kuwa na watoto wengi mkuu
Watoto sio kigezo cha kuuzuia mazungumzo yetu tena hao ndo watakuwa kichocheo cha wewe kunikubali .
Na singlemom kama mie hapo unakuwa umeniteka.....kila kitu nitaitika abee,kwa bed mpaka katerero itapatikana.....Sikuzote mwanaume anaeweza dumu na ndoa ni yule aliyesimama kiume.Umesahau ule msemo wa ukipenda boga penda ua lake To yeye ,
So upendo Kwa wanao ni muhimu ili mizagamuo iwe ya kudumu.
Wewe nipende na uniheshimu hiyo ndo kanuni yangu kuu ninapo kuwa katika mahusiano na mtoto WA watu na siku ukinichoka niambie nimekuchoka , mi ruksa kabisaa tena Kwa moyo mweupeeeSawa,ko inatakiwa niufanyaje ili ujue hakipo cha kunishinda kuhudumia mume
😳hujuagi kubembeleza?....sa itakuwaje? Mbona utapoteza wengi wanaokufaaWewe nipende na uniheshimu hiyo ndo kanuni yangu kuu ninapo kuwa katika mahusiano na mtoto WA watu na siku ukinichoka niambie nimekuchoka , mi ruksa kabisaa tena Kwa moyo mweupeee