Embu tuchat wawili wawili humu

Embu tuchat wawili wawili humu

I believe in me na mpaka mwanamke kanimbia nimekuchoka basi ujue kakuchoka kweli,
But all in all true love never dies na mkiona Mme chokana basi mlikuwa mnachezeana na kulikuwa hakuna true love hapo.
Yeah,sure.
 
Kama yupo unaeshibana nae humu iwe mpenz,au rafiki embu mtag muanze kuchat chochote hata mlichofanya Jana usiku ila nas tujifunze,ikiwa mliduu,au biashara au chimbo.

Nianze na hawa Criston Cole na harakati za siri endeleeni kuchat hapa.

Kuhusu Mimi ninao wengi ivo nitatag wengi mno ila naomba nianze na dronedrake
JOANNA Wanguu pekee yanguu njooo
 
😳hujuagi kubembeleza?....sa itakuwaje? Mbona utapoteza wengi wanaokufaa
Shida yenu nyinyi Wanawake hamridhikagi hata MTU umbembeleze vipi,care kama zote,matunzo ndo usiseme ,kitandani ndo kama vile umemfikisha bado Tu kuna siku atakuumiza.
 
Shida yenu nyinyi Wanawake hamridhikagi hata MTU umbembeleze vipi,care kama zote,matunzo ndo usiseme ,kitandani ndo kama vile umemfikisha bado Tu kuna siku atakuumiza.
Mwanamke umtunze akucheat? Sidhani kama yupo....sidhani
 
Mwanamke umtunze akucheat? Sidhani kama yupo....sidhani
Katika kundi la wanawake kuna wanaocheat na kuna waliotulia hata kama mwanaume ana madhaifu yapi.
Ila kuna hao SASA Yani wao nati za uvumilivu zilishafunguka.
Hao ndio Mimi nawasemea,
Ila wale wavumilivu mi wala hata sina baya NAO.
 
Ukibahatika unakuwa umebahatika na ukikosea unakuwa umekosea.Mnavyoangaika nyie kupata MTU sahihi ndivyo tuangaikavyo pia.Mungu atusaidie
 
Ukibahatika unakuwa umebahatika na ukikosea unakuwa umekosea.Mnavyoangaika nyie kupata MTU sahihi ndivyo tuangaikavyo pia.Mungu atusaidie
Seems uliwahi kuumizwa that's why wewe ni singo Maza si but,
Usifadhaike trust one day utampata sahihi na atayafuta machungu yote.
 
Yeah,nipo taratiiibu....Mungu atanipa tu mkuu😉
So kwakua umeshaamini hivyo basi naamini pia Mungu atakutimizia hitajio la moyo wako,
Na nitafarijika siku unaniambia umempata akufaaye
 
Mwisho wako wa kutingozwa ni siku ukifa. Na ukiingizwa mochware, itategemea tu akili ya mochware atendanti..!! Kama ulimchomolea wakati wa uhai, anaweza afanye yake
Hebu acha bana mambo ya kifo ohoo. Halafu unajua nina msiba wa Bibi tunazika kesho Kibaha. Umenikumbusha yule Albino wa Mawenzi Hospital, walikuwa wanasema akiipenda maiti analala nayo.
 
Back
Top Bottom