Kwanini unateseka sasaMmoja wao
ππMomo njooo tuchat πππ
Mtag basi
Ukimuona mwambie anapendwaaaaππ
Atakua barabarani, akitulia atakuja
ππ zimefikaaUkimuona mwambie anapendwaaaa
Asizingue π
Ni ticha ila sio ticha konde.Yupo form ngapi?
Kuna nini mkuu? Kwema?Nipo mahakamani mkuu
Kama kuna pilipili na limao nitanunuaAcha nichome mahindi hapa huenda kuna wanunuzi.
Mzee mwenzangu kwema? Maji yapo huko kwenu au unaoga ya baharini?Kuna nini mkuu? Kwema?
Lunch time ndio hii inajongea, tunafanyaje sasaNipo hapa pisi kali... Tiririka sasa...
Karibu jirani, na uvae kale kamini kako...Lunch time ndio hii inajongea, tunafanyaje sasa
Leo nimevaa dera jirani, kimini nitavaa keshoKaribu jirani, na uvae kale kamini kako...