Darlin
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 4,796
- 10,646
Hahah me nadhan unanitaarifu zawadi iko njianUje unipe story za w.end😊
Weekend went all well
How about you?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah me nadhan unanitaarifu zawadi iko njianUje unipe story za w.end😊
Karibu sana Demi kila kitu kipo,nimejipanga na hua sibahatishi.Kama kuna pilipili na limao nitanunua
Si unafungua vioo majirani waone uko na ndinga mpya.Gari jipya unafungua vioo vya nini...
Jirani kukununulia gari siyo tatizo... tatizo ni mkataba wake utauweza? Unanitafutia lawama...
Pitia hapa utaniona vizuri jiraniIla wanapendeza wenyewe... kama nawe umevaa, embu tupia kapicha kidogo...
Jirani twende baharini hapo na dera lako tuka discuss mkataba wa gari vizuri huku tukiwa kwenye maji, nakuahidi sitakuzamisha jirani...Si unafungua vioo majirani waone uko na ndinga mpya.
Mkataba ukoje jirani.
Em niambie halafu nijipime, japo naamini siwezi shindwa
binti kiziwi mbona unamtesa kijana wetu? au tuitishe kikao cha dharura sisi wazee wa baraza la nidhamu na maadili ili kujadili hili?Binti Kiziwi hujaona huu uzi jamani.
Tangu unidanganye juzi umeamua kupotea mzima😊😊😊😊
Oh zawadi itakufikia anytime soon.Hahah me nadhan unanitaarifu zawadi iko njian
Weekend went all well
How about you?
Sawa, nikipitia, nakupitia...Pitia hapa utaniona vizuri jirani
Sawa, nitumie ya uber nije jioniJirani twende baharini hapo na dera lako tuka discuss mkataba wa gari vizuri huku tukiwa kwenye maji, nakuahidi sitakuzamisha jirani...
Sawa jirani, mkataba wa gari ni kwamba kadi inabaki kwa jina langu... until further notice...Sawa, nitumie ya uber nije jioni
Hahah sawa I’m eagerly waitingOh zawadi itakufikia anytime soon.
My w.end was great!
binti kiziwi mbona unamtesa kijana wetu? au tuitishe kikao cha dharura sisi wazee wa baraza la nidhamu na maadili ili kujadili hili?
Mkuu ni kiziwi tu. But rest of the organs oparates very propery 😁😁😁😁😁binti kiziwi mbona unamtesa kijana wetu? au tuitishe kikao cha dharura sisi wazee wa baraza la nidhamu na maadili ili kujadili hili?
Upo wapi now?job?Hahah sawa I’m eagerly waiting