The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Hata kama ningekua sifanyi delivery basi ningeanza huu utaratibu leo kwa ajili yako,Niletee basi, au hufanyi delivery?
Pilipili unataka ile yakusikilizia kwa mabali au kwa karibu? delivery nilete mimi au nimtume kijana wangu?
Pls nipe jibu kabla mahindi hayajaanza kupoa kwa baridi la hapa.