Kiatu cha udongo
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 443
- 1,155
Kama Hawa ndio aina ya vijana taifa inawategemea basi tuna safari ndeeeeeeeeeef
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jirani jana nilikua natalii sehemu fulani nilipokuambia kule... hilo vazi walivyokua wanalifanyia aisee...Leo nimevaa dera jirani, kimini nitavaa kesho
Haya aunt Subaru 😂😂😂😂😂 zimefikaa
Kule ni balaa, bora wangevaa tu vimini ijulikane moja kuliko ile tabu wanayopata kulipandisha.Jirani jana nilikua natalii sehemu fulani nilipokuambia kule... hilo vazi walivyokua wanalifanyia aisee...
Brand new malizia 🤣🤣Haya aunt Subaru 😂😂😂
I know you are not fine, and I know what you need, but I will pretend I don't know...Not fine at all 🤣🤣🤣
Nimekumiss, nikakuita tu
Gari ikiwa mpya inapalia, huwezi pumua vizuri...Brand new malizia 🤣🤣
Kitu inanukia harufu ya dukani si mchezo
Hapana jirani, aibu nilikua naona mimi... Maana aisee hatari sana... Yani binadamu ana dera bila pichu, anashikwashikwa hata hashituki anakatika tu...Kule ni balaa, bora wangevaa tu vimini ijulikane moja kuliko ile tabu wanayopata kulipandisha.
Kwahyo jirani ukatulia mahali ukawa unawacheki...
Uje unipe story za w.end😊
Inabidi kufungua vioo fresh air iwe ya kutosha.Gari ikiwa mpya inapalia, huwezi pumua vizuri...
"Kugongana" sio kiswahili sanifuKwani uzi si ndio kwanza umeanza? ngoja kwanza nipime upepo tusije kugongana hapa.
Aisee watu wana balaa sana.Hapana jirani, aibu nilikua naona mimi... Maana aisee hatari sana... Yani binadamu ana dera bila pichu, anashikwashikwa hata hashituki anakatika tu...
Kiswahili sanifu unatumia neno gani hapo?"Kugongana" sio kiswahili sanifu
Gari jipya unafungua vioo vya nini...Inabidi kufungua vioo fresh air iwe ya kutosha.
Jirani ninunulie gari, nipumzishe miguu
Ila wanapendeza wenyewe... kama nawe umevaa, embu tupia kapicha kidogo...Aisee watu wana balaa sana.
Sema ndio utaratibu wa watu wa kule, wenyewe wanaona kawaida