MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 15,923
- 40,246
Habari wana JF
Mwenye Enzi Mungu aliagize nendeni mkaijaze dunia. Muheshimiwa Raisi Dr. John Pombe Joseph Magufuli naye alitoa rai kwa wananchi wa Tanzania wafyatue watoto. Huu ni mwaka mpya, mimi tayari nimefyatua kamoja mwaka jana na nina mpango wa kufyatua kingine mwaka huu, sasa sijui wewe mwenzangu muitikio wako ukoje?