Emigani y’Ekihaya (Misemo ya kabila la wahaya)

Iwe olimurwaile tolige!!!!! Aho IWE WARWANA NA MUKAZI WAWE NYOKOZALA YARUGAHA???????????

Nagambati na nyokozala kakushobeza oshobeza omuhara, aho nobo'olwanile na nyoko zala ti mukazi wawe! Tuli amoi waitu?
 
Acheni ukabila jamani sisi wote ni watz na baba yetu wa taifa ameshayazika inakuaje mara wahaya ,mara wasukuma ,au tungependa mod aweke jukwaa la makabila humu ndani mana duh hadi mantiki ya utani na joke inapotea ,unasoma thread haieleweki ,inawezekana ni joke nzuri bt kwa wale ambao si wahaya mnatunyima utamu
 
Mziriye ukabile uko wapi hapa kama si wewe unataka kuuleta!

hey can't u see there,hapo huoni kuwa unataka wanaojua na kuelewa kihaya ndo wasome au hadi mie mmakonde naweza elewa hyo thread yenu,lugha ya taifa ni kiswahili na kama ukitumia kingereza afadhali kidogo ,we hushangai all of topics huwa zaandikwa either kiswahili /english ,sasa nyie na kihaya tuitaje?hebu utusaidie tuite kwa jina lipi kama si ukabila au u-mkoa.nawasilisha jamvini
 
Hapa ndipo watu wenye mawazo finyu huwa mnaniboa, post zimekaa mahali stahiki "utani" na kichwa kinajieleza kabisa kuwa ni "misemo ya kihaya" Hiyo ingekufanya ufurahi kujua baadhi ya misemo ya makabila ya wenzio; uliza maana utaelezwa, kuliko kuanza lawama za ohoo ukabila, mara ohoo u-mkoa nk. Jamii ya kitazania inajengwa na watu wa makabila mbalimbali. Kila mtu humu ndani ana kabila lake, japo si wote wanajua lugha za makabila yao. Kama hii topic haikufurahishi zipo nyingine hamia huko. Zile zinazowahusu wote zimeandikwa kwa lugha ya wote.
 
of course kwa hyo unachotaka kutuambia kuwa ktk jukwb kama hili mmakonde aweke misemo yao,mmwera,muha,mkwere,mmakua,mngoni sasa itakuwa ni kitu gani hyo sasa,nadhani lingenzishwa jukwaa jipya na tuliite jf-jukwaa la makabila ,nadhani hapo mtaongea kihaya chenu,mtakula senene,mtakunywa lubisi na mtapumzika ktk nyumba yenu ya msonge.mkuu am out na elewa siwezi kuwa adui kwa kusema ukweli ,na ktk ukweli nitasimamia.
 
Olwo oba otaina kiti nilwo embeba ekulaba omumaisho!
 
Acheni ukabila jamani sisi wote ni watz na baba yetu wa taifa ameshayazika inakuaje mara wahaya ,mara wasukuma ,au tungependa mod aweke jukwaa la makabila humu ndani mana duh hadi mantiki ya utani na joke inapotea ,unasoma thread haieleweki ,inawezekana ni joke nzuri bt kwa wale ambao si wahaya mnatunyima utamu
thats why mi mpemba niliachana nayo mapema thread hii coz ingenima uhuru wa kuelewa kinachoongelewa. Naweka kiswahili changu, post inayofuata kihaya. Sijuwi ingekuwaje, au ndo kuielewa misemo ya kihaya? Basi sisi ni mageneus maana hata huyo talent kwa kuisikia siku 1 tu ni vigumu kuikamata. But ol in all haitakiwi kuwa serious sana ktk jukwaa hili, si umesikia nzry? Lkn kiukweli mambo mengine yanaboa...
 
Acheni ukabila jamani sisi wote ni watz na baba yetu wa taifa ameshayazika inakuaje mara wahaya ,mara wasukuma ,au tungependa mod aweke jukwaa la makabila humu ndani mana duh hadi mantiki ya utani na joke inapotea ,unasoma thread haieleweki ,inawezekana ni joke nzuri bt kwa wale ambao si wahaya mnatunyima utamu

Kweli Mkuu wanatunyima raha.
 
NKAIJA NABABONELA:

Ndi kikere ndy'amwiga, nimbona omukazi nayoga aina embila omunyugunyu,
Yatandama; nanye nashoita kuleba.....
Mba kikere mbona, mbon'omukazi nayoga, ngoza kushokya ndemwa....

NIKWO NABABONEILE NTYO.
 
Back
Top Bottom