Emigani y’Ekihaya (Misemo ya kabila la wahaya)

Emigani y’Ekihaya (Misemo ya kabila la wahaya)

Ingekuwa Busara kwa aliyepost thread hii akajenga hoja kwa Administrator wa site ili kama ataona kuna haja awaanzishie Room for Haya language.

Vingenevyo naweza kusema mambo mawili:

1.Misemo kama misemo sio kitu kibaye kwenye jamii, hivyo ilitakiwa ukishaandikwa kihaya utafsiriwe ama kiswahili au chingereza ili watu wapate maana yake, pengine misemo hiyo inaweza kuwa na maana ya msingi tu katika maisha yetu ya kitanzania na kidunia ya kila siku. Lakini kuacha bila tafsiri ni matumizi mabaya ya muda wetu sisi wana JF tusiojua lugha husika. Naona reply yangu hii iwe onyo kwako mwandishi kwamba tupo kufundishana na kueleweshana hapa na sio kupotezeana muda.

2.kwa kupost kitu kama hiki katika jamii ambayo hujaiandaa maana yake ni kutufundisha na kutukumbusha kwamba pamoja na nguvu nyingi alizotumia muasisi wa taifa hili kupiga vita ukabila bado kwa nyinyi wahaya safari bado ndefu. Sana sana wazo jingine pengine ni namna ya kujaribu ku tress how many hayas are there on the JF room, mimi sio msemaji wa forum lakini nina hakika forum hii haikuandaliwa kwa hilo.

Myself i am trying to be out of the habit like yours, once i managed take your part you will also be the same.

BE GOOD MAN!

Bojo naiwe waiganka okupandika luzungu?
Tolumanyiiiiiii
 
in fact mimi muenyeuwe hii misemo naisikia tu kwanza cjazaliwa keijijini bukoba hata na likizo tukifunga shule huwa naenda marekani kwa aunt so misemo hiyo munanitesa tu in fact kwa kueli....

aaaaha otuleke
 
Omwatani mubi njoka ya ukutema otamanyilile

okushwela omwisiki mukulu noyenda akulile ebyawe
 
Wakimbizi utawajua tuu. Lugha ni sehemu ya utamaduni. Waache watani zangu waburudike, kama vipi na wewe anzisha kikwenu nikuungie, mimi najua lugha zote za bongo kasoro Lugha ya Aden Rage tu

"Wakora waitu" watu kujadili lugha yao hakuwaondolei utanzania wao isitoshe ndo maana ya hili Jukwaa unadhani kwa nini wacheza Comedy wengi wanachanganya kiswahili na lugha zingine hii ni kutaka kuleta utamu zaidi.
 
Iwee nobeyas bwana chei oleke ebigambo bingii wahulila ma nanka

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ekyawe kyawe kijunda nokala!

EXCLUSIVE
:Emigani ye'kihaya
1.Atamanya ngonzi za mpaya ati yampema
2. Atamanya njara ya mbwa ati yantandamira.
3.Atakwendera muhigo ati ekibwa kyawe nikikuntira
4.Atamanya ngonzi ati "ananka" nayomba
5. Engenzigenzi
nekira ekikuba igosi
6. Togire ibango okagonza kugarama
7. Tiwakwetweka kimuga okashereka binyakwali
8. Obwetwale "bwomukazi"
"bushaija" kuburwa eigufa
9.Atamanya bisha bya mukojo ati
tananka akojora nanyampa
10.Ey'oinayo niyo otandamira baro
11.Nikwo mbazara akaitwa eya mwenda
12.Nyantahulira akasabara obweibumba
'' ''-Nasherekaho kutanga okukoterera
Yongeraho!
 
Kankuanulile mukuru wange.
1. Oturo twomunafu twija mbukya
2. Ntwaleki eita amazale
3. Mbali ishenyelwa tiwo ikomelwa
4. Agatakukwete otagashongongwa
5. Nkugendeile takulugao busha
6. Owo otalisa tomweta mujala
7. Owo otabikila tomweta mwolo
8. Kabikanye afa atashweile
9. Timbikilwa abyeatila
10. Ayetweka ekimuga tasheleka binyakwali
11. Kakiweyo akachumita omukila
12. Atakwendela milile ati nachankuza
13. Omukazi omunafu tayosha wabo
14. Achumba ebitaile omanye alagaine nomugenda
15.Mbali otalima olebayoki. Tinkamazile shana naiwe gendeleza!
 
Back
Top Bottom