Eminem: Kiumbe ambacho wana hiphop wanaogopa kuwa na bifu naye, rap God

Eminem: Kiumbe ambacho wana hiphop wanaogopa kuwa na bifu naye, rap God

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
1586896612258.png

Ndiye king of freestyles zinazomake sense na hajuna anaepinga, unashauriwa kuwa na dictionary pembeni maana nahisi anajua maneno yote, Ole wako!!Ole wako ujitie wenda wazimu uanzishe bifu na hiki kiumbe

Kumdisi eminem ni kama kumuua mbwa wa john wick, eminem na huyu bwana nahisi wana undugu maana wote wanateketeza kwa kalamu.

Yanni eminem kitendo cha kukujibu ukimdisi ni kama anakuchimia kaburi la career yako ujizike mwenyewe.

Huwezi kumdisi mtu ambaye tayari anajidiss, waliocheki 8 mile ya eminem nadhani mshanipata

Kina jarule wallijaribu wakateketea mazima, kina machine gun kelly nao wakunga tela, nick canon nahisi kaanza kutumia madawa maana sijui hata kapata hii confidence wapi.

Japo kina tupaccama notorious big walikuwepo vizuri, ila sidhani kama wamefika hata nusu ya eminem ila tatizo tu labda ni mzungu ndio mana wengi hawamp heshima anayostahili
 
Ja Rule alipotea siyo kwsababu ya Eminem ila bifu lake la 50 lilimpoteza yeye, Ashanti na Murder Inc in general
Vuta stuli nikusimulie haya mambo kijana, Kina 50 walikuja kumalizia tu na kupukuta.

Ja rule na murder inc walianzisha bifu kwa kutoa diss track ya loose change kwa sababu hawakumpenda 50 na lawama wakawapa kina dre na eminem, ila walichokosea mwishoni mwa ngoma biti limeisha ila jarule anasikika akimdisi eminem mtoto wake atakuaje akiwa mkubwa akimdisi mama yake eminem ni teja na mke wake eminem ni malaya.

Eminem na kikundi chake cha d 12 wanajibu mapigo na "do rae me", maudhui ya humo yanamtikisa kweli kweli jarule na kina murder inc, na jarule hapa kaona kakosea sana kumdisi eminem, Mauzo yanapungua, career inashuka, na 50 anazidi kugongelea msumari kwa jarule.
 
Vuta stuli nikusimulie haya mambo kijana, Kina 50 walikuja kumalizia tu na kupukuta.

Ja rule alianzisha bifu kwa kutoa diss track ya loose change ilimlenga sana eminem ila na kina dre na 50 waliguswa, Biti limeisha ila jarule anasikika akimdisi eminem mtoto wake atakuaje akiwa mkubwa akimdisi mama yake eminem ni teja na mke wake eminem ni malaya.

Eminem na kikundi chake cha d 12 wanajibu mapigo na "do rae me", maudhui ya humo yanamtikisa kweli kweli jarule na kina murder inc, na jarule hapa kaona kakosea sana kumdisi eminem, Mauzo yanapungua, career inashuka, na 50 anazidi kugongelea msumari kwa jarule
Umejiiandaa mzee...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unalosema ni kweli ila mimi niliona interview ya ashanti akiongelea nini kiliwakumba, alisema beef al Ja rule na 50cent ndilo liliwapoteza naye akasombwa na upepo, hadi kuna siku wamekutana stejini ashanti, akiwa na nelly na 50 alikuwepo nelly akamwambia 50 amwombe msamaha ashanti kwa kumuingiza kwenye ugomvi ambao haukumhusu, 50 akaishia sema Ashant I'm sorry
 
Kiufupi Hata kama una bifu na kikundi cha watu 10 ambacho yumo eminem, Ukimdisi tu mtoto wa eminem, Basi Eminem atakutafuna kwa niaba yetu sisi tunakuchongea msalaba tu. Bifu ilikanyaga kanyaga kabisa label ya murder inc na ikamsomba ashanti.
 
Uyu jamaa uyu akili yake anaijua mwenyewe,alikua mtu poa na Jay z,kwenye ngoma yake na 50 never enough,alimtukana Sana Jay z akilalama alimzingua,baadae kidogo wakatoa nyimbo na Jay z
 
Back
Top Bottom