Eminem: Kiumbe ambacho wana hiphop wanaogopa kuwa na bifu naye, rap God

Eminem: Kiumbe ambacho wana hiphop wanaogopa kuwa na bifu naye, rap God

Baada ya Eminem kutoa diss track ya "Kill Shot", MGK alisema hawezi tena kumjibu Eminem.
Pia tangu diss track ya "Kill Shot" itoke, MGK amekuwa sio MGK yuleyule.
Career yake ya music inahitaji muujiza kufufuka.
Don't mess up with Slim Shady yoh.
Hivi mnamjua Canibus ninyi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rap god....nilisikiliza interview moja ya The Game aliulizwa VP unamuonaje Eminem? akajibu....Dope
Akaulizwa tena...VP ikitokea kuna battle kati yako na na Eminem utafanyaje?
akajibu...Run
Eminem MTU mbaya jamani
 
Naomba kuelezwa nini athari kwa msanii kwenye hizi dis,
Eminem anapata nini inapotokea ameshinda kwenye dis
Hawa kina Ashanti waliathirikaje??
Mashabiki wa muziki wanachukuliaje mambo ya dis wana influence gani,
Je ni kitu gani kinaimbwa hasa kwenye dis track na kinalenga nini??




Sent using Jamii Forums mobile app
kumchafua tu mtu over

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom