Eminem: Kiumbe ambacho wana hiphop wanaogopa kuwa na bifu naye, rap God

Eminem: Kiumbe ambacho wana hiphop wanaogopa kuwa na bifu naye, rap God

Attachments

  • FB_IMG_1515620604923.jpg
    FB_IMG_1515620604923.jpg
    38.9 KB · Views: 15
Alieunda msingi na anaetumia msingi yupi bora.Tupack no all time rapper kana Pele all time football prayer japo Luna CR7 Mess. Mwanzilishi ni mwanzilishi tu.Waliofuata wanajifunza kutoka kwa makungwi.
Sikupingi boss, ni mtazamo wako.
Kwangu mimi, hakuna na hakujawahi kuwepo mpiga kandanda bora duniani kama Messi.
Hakuna na hakujawahi kuwepo mwana HIP HOP bora duniani kama Eminem.
Sijui kuhusu sayari zingine.
 
Habari yako Kafiri!!
Na wewe unamkubali Eminem?
Kuliko hata Joyner Lucas? Kuliko hata Kendrick?
Kumkubali msanii fulani haimaanishi yeye ni bora kuliko wasanii wengine.
Mimi nawakubali zaidi Old Kanye West na J.Cole, lakini namtambua Eminem kama mwana Hip Hop bora wa muda wote.
 
Vuta stuli nikusimulie haya mambo kijana, Kina 50 walikuja kumalizia tu na kupukuta.

Ja rule na murder inc walianzisha bifu kwa kutoa diss track ya loose change kwa sababu hawakumpenda 50 na lawama wakawapa kina dre na eminem, ila walichokosea mwishoni mwa ngoma biti limeisha ila jarule anasikika akimdisi eminem mtoto wake atakuaje akiwa mkubwa akimdisi mama yake eminem ni teja na mke wake eminem ni malaya.

Eminem na kikundi chake cha d 12 wanajibu mapigo na "do rae me", maudhui ya humo yanamtikisa kweli kweli jarule na kina murder inc, na jarule hapa kaona kakosea sana kumdisi eminem, Mauzo yanapungua, career inashuka, na 50 anazidi kugongelea msumari kwa jarule.

..And Murder Inc. will send they deepest condolences and sympathies
To Aftermath and Shady, Interscope and Jimmy lovine... Loose Change... Ja Rule.
 
Back
Top Bottom