Eminem: Kiumbe ambacho wana hiphop wanaogopa kuwa na bifu naye, rap God

Alieunda msingi na anaetumia msingi yupi bora.Tupack no all time rapper kana Pele all time football prayer japo Luna CR7 Mess. Mwanzilishi ni mwanzilishi tu.Waliofuata wanajifunza kutoka kwa makungwi.
Huyu jamaa atakuwa na matatizo usibishane nae
 
Aisee.
Binadamu bhana!
Yaani nina "matatizo" kwasababu ya kutofautiana "mtazamo" na wewe Mr Okoth P Bitek wa Jamii Forums.
So, ili niwe "mkamilifu" ni lazima nifanane "mtazamo" na wewe.
Yaani "mtazamo" wako wewe ndio "SI Unit" ya "Utimamu/Ukamilifu" wa mtu humu Jamii Forums!
Seriously?
 
Kamwe hamuwezi kuwa sawa kimtazamo kila mtu na mtazamo wake
 
~ Eminem ni mkali,Ila Mimi namkubali sana Nasir odara Jones ndio mwanahiphop au MÇ wangu Wa muda wote.

Eminem anaweza.
 
Back
Top Bottom