Eminem ndiye rapper bora kuwahi kutokea, kikwazo ni rangi

Natazama uwezo wa Eminem na kisha natazama uwezo wa Buster Rhymes na hapo nagundua kuna heshima inavunjwa!
 
Mwenye thread ana mahaba niue na Eminem TU ila kiukweli eminem hawez mfkia tupac Wala b.i.g notorious [emoji134]
 
Acha kuongea kama umebugia kinyesi, cheki mnyama anavyokamua live na hapa umri ushaenda

Niliheshimu sana mawazo yako na nilikuwa nafuatilia kwa nidhamu sana.
Sikujua kuwa una akili ndogo.
Itawezaje kumjibu mtu kama Chief-Mkwawa anayejiheshimu kama huyu utumbo huu?
Kwanini usimpinge kwa hoja?
 
Sijajua ulikusudia hiki ulichokiandika au umemchanganya Em na ujinga mwingine uliokuwa unaufikiria.

Usimfananishe RAP God na vitu vya kijinga mzee!!!
 
Niliheshimu sana mawazo yako na nilikuwa nafuatilia kwa nidhamu sana.
Sikujua kuwa una akili ndogo.
Itawezaje kumjibu mtu kama Chief-Mkwawa anayejiheshimu kama huyu utumbo huu?
Kwanini usimpinge kwa hoja?
Pole sana mkongwe!
Ila Chief Mkwawa amezingua sana.
 
Hapana angalia show zake live
Mkuu nimeweka link ya sound engineer wake kabisa akielezea wanavyopata ile sauti.

Ingia subreddit ya Eminem hao fans wake wenyewe hawabishi hilo, tunaweza bishana Auto tune sababu sio 100% proved ila hio overlap na distortion na reverberation, ku speed up nyimbo vyote ni vitu ambavyo vimethibitishwa na Team yake mwenyewe ama scientific methods nyengine.
 
Je anategemea Technology pekee?
Hawezi kufanya mwenyewe?, kama majibu ni ndio basi Guiness ni wajinga ( wanaweka kwenye rekodi nyimbo mbili ambazo zinategemea tech kuweka speed ).

Je tujiulize Em ni bora kwenye speed pekee, mbona Nyimbo zake zinazopendwa sana ni zile alizorap taratibu?
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, EM ni habari Nyingine.
Freestyle, Lyrical, pumzi, Vocabularies, sijaona bado asee.....
 
Mkuu sijasema popote Eminem ni msanii mbaya ama nyimbo zake sio nzuri, Hio Not Afraid yenyewe hata mimi naipenda.

Ila Mleta mada anazungumzia Great of All time, yaani msanii bora wa Hip hop wa muda wote.

Je utamchagua msanii bora wa muda wote Mtu ambaye anachanganya Kipaji na vifaa vya Studio? Yupo Level Moja na greats wengine?
 
Mkuu sijawahi kufahamu ili kumbe all this time huyu, mwamba anatumia auto tune. Na kuwa mwana hip hop kwangu kote sikuwahi kushtukia ili
 
Tukiangalia mauzo au hela wanazopiga kizazi cha leo basi kina Whitney Houston, Mariah Carey, Celine Dion, R Kelly sio bora wa muda wote. Tukubaliane kuna wanamuziki wa sasa wazuri kuliko wa zamani ila bado ni wachache waliovunja rekodi zilizowekwa na wakongwe. Kuna watu walikuja duniani kuweka tu rekodi zao kabla hawajafa au kustaafu. Wanamuziki wa leo ni hela tu wanapiga wengi wao ila sio ubora wa muziki.
 
Duh! M na autotune!! First to hear it!!
 
Mwanahiphop Bora kwangu lazima awe Toka N.W.A. hili chama lilikuwa kiwango kingine!
 
Mziki unaenda na mapenzi binafsi ya mtu......
Ni ngumu kufika hitimisho kwa mtindo huu wa sasa.
Je, unaodhani kuwa ni G.O.A.Ts wanamzidi nini?
 
Kwani Em ni wa leo?
 
Mziki unaenda na mapenzi binafsi ya mtu......
Ni ngumu kufika hitimisho kwa mtindo huu wa sasa.
Je, unaodhani kuwa ni G.O.A.Ts wanamzidi nini?
Hakuna kigezo kimoja kumfanya mtu kuwa Goat ila unaweza angalia wiki ya Hip hop hapa kuna rank ya site mbalimbali na vigezo mbalimbali


Then kwenye reference Kuna links husika walipotoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…