sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
- Thread starter
- #61
Hizi hapaAhhh Eminem ni nyoko, hizi unazipata wapi live au ukiazicheki YouTube zinapatikana tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi hapaAhhh Eminem ni nyoko, hizi unazipata wapi live au ukiazicheki YouTube zinapatikana tu
Ukimlinganisha na nani? Kuwa serious kidogo. 2pac anamuaka minfapi tangia amefariki?Mimi binafsi 2pac naona wa kawaida mno...
Acha kuongea kama umebugia kinyesi, cheki mnyama anavyokamua live na hapa umri ushaenda
Pac Amekufa lini? Em ameanza mziki lini?Ukimlinganisha na nani? Kuwa serious kidogo. 2pac anamuaka minfapi tangia amefariki?
Hebu mchukue huyo unaemwamini, chukua nyimbo zake za kipindi bado pac anafanya yake ulinganishe, utaleta mrejesho hapa.
Pac Amekufa lini? Em ameanza mziki lini?
PAC anakufa EM ndio anaanza kuupata ustaaa, ko hawajawahi kuwa wote kwenye peak.....
Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
nikki saizi kwa freestyle hana maajabu, kizazi cha kina cado, frege, toxic nk kipewe heshima yake.Huyo aliyekalishwa na Cado Kitengo mchana kweupe?
Oya hivi ulifatilia ile battle ya nikki na cado pale big sunday?Una utani wewe kamuuli marehemu godzila kwenye battle ya back alikutana na nini
Mziki wake unaweza ukautafsiri kua sio mkubwa kwa ku refer current streaming nikakuelewa, lakini lyrical yule ni jiniLabda uwe ni ushamba wangu.....
Ila kifo cha tupac ni kikubwa kuliko mziki wake.
Naunga mkono hojanikki saizi kwa freestyle hana maajabu, kizazi cha kina cado, frege, toxic nk kipewe heshima yake.
Hawa majamaa wanafanya freestyle ambayo hata hao waliokua wakisifiwa kwa freestyle hawagusi hata robo ya uwezo wao
Nikki mbishi kwenye kuandika ni mzuri, hapo nampa credit lakini linapokuja swala la freestyle hakuna cha marehemu ngwair wala godzilla ambao wanaweza kulingana kiuwezo na kina cado
Jamaa kanibishia hapo juu nimeamua nimuache tu, analeta historia tena kumtaja Marehemu King Zilla.Niliiona hiyo ilikuw kwenye big Sunday live ya wasafi FM
Nikki alitulizwa na hata hivyo cado alifanya kwa heshima sio kwa ule uwezo wake rasmi hiyo yote coz anamuheshimu sana Mbishi.
Umesaidia kunijibiaOya hivi ulifatilia ile battle ya nikki na cado pale big sunday?
Kama ulifatilia kuna vitu utagundua kutoka kwa nikki, kwanza zile punch nne za mwanzo inaonekana wazi kabisa alizi buni kabla ya kuingia battle na cado
Kwasababu alipozitoa zile alizitoa kwa haraka lakini baada ya kujibiwa na cado, mchizi ni kama akawa anafikiria cha kujibu yani kama mashairi yame muishia na ndio maana kuna lines zilikosa hadi vina
Nikki: Cado, bado twende adoado.../
Huyu demu tumgombanie ana anado.../
Pesa huna huyu dem mi ta muonga prado.../
Cado: prado? Mi nitamuonga range, ukimpeleka dar namchukua nampeleka zenji.../
Kilichofata hapo nikki mbishi alikua ana freestyle hata bila vina
Niki ni mwandishi kwenye freestyle amechoka na hata yeye anakubali hilo, kwenye post moja IG alipost picha akiwa na cado. Jamaa aka comment kua nikki mbishi uliniangusha sana kushindwa freestyle na cado
Nikki akamjibu kua ni kweli uwezo wake umepungua na kweli alikiri kuzidiwa.
Mkuu unajua Auto tune? Eminem ametoka kizazi feki na ile sio sauti yake ukimuweka live hawezi kurap vile anatumia sauti fake (Auto tune, distortion, overlap etc) ndio maana hawi regarded kama mwana Hiphop bora.
Kina rakim, 2pac, Nas, B.i.g Jay Z etc wanakuwa regarded kama bora zaidi.
Usisahau legendary mwenyewe T pain.
Acha kuongea kama umebugia kinyesi, cheki mnyama anavyokamua live na hapa umri ushaenda