Eminem ndiye rapper bora kuwahi kutokea, kikwazo ni rangi

Eminem ndiye rapper bora kuwahi kutokea, kikwazo ni rangi

Wazee music unahama sana kutokana na historia nyakati legacy na nn unataka kwny game.

Eminem ni miongoni mwa wasanii wakubwa na nguli kwny misingi yote ya hip hop ila waliomtangulia wana heshima yake na yy mwnyew ashawahi kukiri kwa PAC ni level nyingne..
Mtu unayemcompare PAC au notorious na eminem nina wasiwasi sana na uelewa wako na old school hip hop.

Kwangu mm eminem ni mkali kwao detroit na aliwahi kumkarisha king of freestyle kule detroit mpaka jamaa akaacha kuchana tena.[emoji3][emoji3]

Mtu kama jay Z kipindi anaanza music alikuwa zaid ya eminem wawili waungane pamoja alikuwa anafanya kila kitu akaachaga music coz haukuwa na hela...alivyorudishwa na washikaji kwny game na kuelekezwa aina ya music mwny hela akawa soft hadi leo.

BIG ana clip yake ana freestyle mtaan akiwa na miaka 16 youtube ndo freestyle bora ya eminem mpaka leo afu mtu mmoja toka Tz unasema jamaa wanapaishwa na vifo[emoji3][emoji3]
Kwny lyrics,delivery na mtililiko sahihi wa ngoma sikiliza ngoma za Pac ni dope
Hoja isiyopingika, kifo cha PAC ni kikubwa kuliko mziki wake........
 
2 PAC
Big
Jay z
.
.
.
.
Malizieni mnaowajua ila tatu bora ndio hiyo
 
Pac big jay Z nas scoba hawa GOAT

Eminem TIP Kanye the game wanafatia
 
Siwezi kuongea kwa niaba ya watu wenye asili ya africa wote wanaopenda hip hop, wawe wabongo, wamarekani weusi, waingereza , n.k, lakini wacha nitoe maoni yangu, Eminem is the goat (great of all time), hata uweke big na 2pac bado sana.

Kwangu mimi hali ni tofauti, huwa sijali rangi, nachojali ni lyrics, delivery, word play, nk, na hapa ndipo napojua hakuna msanii wa kumfikia eminem kukitendea miujiza kipaza sauti na kutumia kalamu vizuri kuandaa mlyrics amazing.

Sote tunajua hip hop ilitengenezwa na kuchochewa na watu weusi, na hapa ndipo kuna baadhi ya watu wenye hii asili wanakuwa wagumu mno kukubali uhalisia kwamba Eminem ni mzungu na anafanya poa zaidi ya rappers weusi, hisia zinatumika kupinga badala ya kutumia akili kukubali ukweli.

Laiti Eminem angekuwa ni mweusi, basi ni wazi kabisa eminem angechukua ni Michael Jackson wa Hip hop

Ukija huku kwenye mitindo huru frreestyles na cyphers, ni mnyama .

Waliowahi kuingia 18 zake wengi walipotezwa, pengine cheo sahihi cha kumpa Eminem ni "Un-beefwithable"
Una uhakika?
 
Ule wimbo kuna vipengere anaimba na sio kurap

kumbuka eminem ni rapper na sio mwimbaji

kuna sehemu zenye high notes ilibidi ziwekwe auto tune ila kuna wengine husema anatumia mbinu ya zamani, unaimba chorus mara 4 then unazi overlap moja juu ya nyingine ili sauti iwe kama autotune,

hivyo sehemu za ku sing kuna msaada, ila kwenye ku rap vitu ni og.
hata hizo verse hawezi kurap live vile, yani hili la eminem ku fake mbona linajulikana? ana nyimbo kibao anarap upesi upesi na haingizwi kwenye guiness? kuna screenshot nyingi tu zipo mitandaoni watu tofauti tofauti wa audio wanaonyesha anavyospeed, pia zipo live show anaonesha akivuta pumzi kuna jamaa wake anaitwa porter humsaidia akiishiwa pumzi.

kumaliza huu ubishi nakupa live jamaa ambaye yupo nyuma ya eminem akielezea wanavyofanya, shuka chini hadi utakuta hii sentesi

"The bridge vocals were overdubbed six times. We didn't use Auto‑Tune or anything like that: Em also gets his singing parts down quickly and accurately."

for the sake of discussion tumuamini huyo jamaa hawakutumia Autotune, ila wame dub sauti mara sita, unaimba mara ya kwanza, unarudia mara pili mpaka sita, then kuna namna wanamix ndio inatokea sauti ile nzuri unayoisikia na kuipenda (sauti fake ambayo real life hawezi kui produce)

source hapa

hivyo mkuu asilimia 99 ya wanamuziki wa sasa ni fake, nyimbo nyingi ni studio effect na vile wanavyoimba hawawezi kuviimba live, tofauti na hao ma legend kina RAKIM, 2pac etc
 
Mkuu kwani anayeshikilia rekodi ya guiness ni nani?
Ina maana Guiness wamedanganywa nao wamekubali? Wanamuweka mtu anayetumia mashine...
Navyofahamu kabla ya Godlzilla, Rap God ndio ilikuwa inashikilia rekodi ya dunia....
 
comment yangu ya juu kuhusu kurap haraka na kutoingia guiness record exactly nilimaanishia speedom. speedom ina herufi 12.5 kwa sekunde na godzilla 12.6, speedom imetoka katikati baina rap god na godzilla sio? pia imeipita hio ya nick minaji, kwanini haikutambulika na Guiness?

na unazungumziaje suala la kudub sauti, ushahidi toka kwa engineer wake wa sauti?
 
Wanadub sauti kwa malengo gani?....
Kuna mtu juu hapo alikwambia ni part zile za kuimba....
Kama ni rekodi ya dunia ya kurap fasta.. EM ndio anaishikilia....
Lakini kurap fasta ni moja kati ya vitu vichache vilivyonivutia.
 
ku produce sauti tofauti, mfano not afraid nilioitaja juu (sio chorus ile sauti kabisa ya kurap), na unakubaliana na mtoa mada Eminem ni great of all time?
 
ku produce sauti tofauti, mfano not afraid nilioitaja juu (sio chorus ile sauti kabisa ya kurap), na unakubaliana na mtoa mada Eminem ni great of all time?
Naona umeshikilia hio not afraid mpaka basi aisee 😂😂 nimekuwekea hapo live show ya loose yourself, cheki mambo hapo, waweza kucheki na shows za lighters alofanya na bruno mars, n.k.
 
Back
Top Bottom