Eminem ndiye rapper bora kuwahi kutokea, kikwazo ni rangi

Eminem ndiye rapper bora kuwahi kutokea, kikwazo ni rangi

kulikuwa na topic ya somo la kiswahili ya kutuma ujumbe mfupi wenye uzito kwenye fax, mkuu umemaliza kila kitu.
Huwa naona hivyo.....
Watu wanatangulia kukijua kifo chake.....alafu mziki ndio unafuatia.
Kuhusu EMINEM ni aina ya msanii ambaye anakupa kila aina ya radha kwenye rap....
Comedy, siasa, mapenzi, harakati, Majigambo,.....
Yaani vyote vinavyotakiwa kuimbwa.
 
Hata sijui mlango upi angetokea big au pac wakikutanishwa kwenye freestyle na Eminem

Ila yote kwa yote, Pac alikuwa na energy kubwa mno ndani ya sauti yake na alikuwa mtaalam wa kufikisha ujumbe anapoimba changes, dear momma, n.k

Big nae kwa flows namkubali, sema flows tamu ila mesej ndogo.. To all the ladies in the place with style and grace, Allow me to lace these lyrical douches in your bushes
 
Mkuu....
Naona unamkubali Marshall sana, fungua special thread kabisa ( thread zako zote za eminem omba ziunganishwe).....
Stans wakutane.
1633375783016.png

THE GAME - You don't want a beef with Eminem he shreds, he shred's MC's for real... He can't be seen by no one, Jay know, everybody know. You don't mess with the white boy

50 CENT - Unfortunately for some people, it’s tough to accept that there is a white artist who does it better than black artists. It is what it is. You can have whoever you think is the best black artist, stand it in one room face to face with Eminem and he’ll eat that motherfucker alive.
 
Mkuu....
Naona unamkubali Marshall sana, fungua special thread kabisa ( thread zako zote za eminem omba ziunganishwe).....
Stans wakutane.
tetea kwa hoja mkuu

Eminrm anakurusha na word play, kabla hujatua anakupiga kifuti cha in-your-face freestyle.
 
View attachment 1963060

THE GAME - You don't want a beef with Eminem he shreds, he shred's MC's for real... He can't be seen by no one, Jay know, everybody know. You don't mess with the white boy

50 CENT - Unfortunately for some people, it’s tough to accept that there is a white artist who does it better than black artists. It is what it is. You can have whoever you think is the best black artist, stand it in one room face to face with Eminem and he’ll eat that motherfucker alive.
Iko wazi hiyo....EM ni wa kitofauti.....
Nadhani nyimbo zake zote nnazo ( za kwake)....
Na zote nikianza kuskiliza ni bila next..( zisipoisha nikija tena naendelea pale pale nilipoishia)
 
Mimi haya mambo sina uelewa nayo sana ila nnamwelewa sana eminem kwenye renegade, the way you lie, I am not afraid na mocking bird.
Sasa 2pac namwelewa kinoma saaana kwenye changes. Aisee changes kwangu ni bonge la ngoma milele amina.
Kuanzia michano, ujumbe, beat, chorus.
 
Mkuu una mtazamo sawa na wangu....Eminem ni Greatest of All Time. Kwa hilo sinaga mjadala hata Kidogo. Kina Notorious na Pac wanakuzwa na vifo vyao tu ila muziki wao ni below Em's.

Unaambiwa Kanye alirudia kuandika verse yake mara tatu baada ya kuingia studio na kusikiliza verse ya Eminem kwenye Forever ya Drake. Em alichora verse ile ndani ya dk 10.

50 alifuta na kuandika upya verse yake kwenye Crack a bottle.

Lil wayne alihanya sana kwendana na kasi ya mshikaji kwenye Drop a world.

Mifano ni mingi sana, hao blacks wenyewe wanaujua moto wa Eminem. Alafu unaambiwa anaandikaga kutoka kushoto kwenda kulia then next line kutoka kulia kwenda kushoto, mara kutoka chini kwenda juu yaan vagalant. Msanii pekee anachora mistari kwa mtindo wa cross-multiplication. Yaani huwezi kusoma ukaelewa.

Hip hop ina vichwa ila Em ni kichwa na robo tatu
 
So crack a bottle let your body waddle
Don't act like a snobby model you just hit the lotto................
Umeitaja na ndio naiskiliza saiv,
Screenshot_20211004-230148.jpg
 
Hiyo zamani na alikutana na zilla mkali kiasi chake ndo maana akatamba...lakini hata kwa lusajo mtoto wa sempa gola alikuwa hasogei.
Niliiona hiyo ilikuw kwenye big Sunday live ya wasafi FM

Nikki alitulizwa na hata hivyo cado alifanya kwa heshima sio kwa ule uwezo wake rasmi hiyo yote coz anamuheshimu sana Mbishi.
 
Caution to the wind, complete freedom,
Look at these rappers, how I treat them so why the f.ck would I join 'em when I beat 'em yeah

Huyu kichaa anajua. Ukimpa sifa siyo sifa feki.
 
Siwezi kuongea kwa niaba ya watu wenye asili ya africa wote wanaopenda hip hop, wawe wabongo, wamarekani weusi, waingereza , n.k, lakini wacha nitoe maoni yangu, Eminem is the goat (great of all time), hata uweke big na 2pac bado sana.

Kwangu mimi hali ni tofauti, huwa sijali rangi, nachojali ni lyrics, delivery, word play, nk, na hapa ndipo napojua hakuna msanii wa kumfikia eminem kukitendea miujiza kipaza sauti na kutumia kalamu vizuri kuandaa mlyrics amazing.

Sote tunajua hip hop ilitengenezwa na kuchochewa na watu weusi, na hapa ndipo kuna baadhi ya watu wenye hii asili wanakuwa wagumu mno kukubali uhalisia kwamba Eminem ni mzungu na anafanya poa zaidi ya rappers weusi, hisia zinatumika kupinga badala ya kutumia akili kukubali ukweli.

Laiti Eminem angekuwa ni mweusi, basi ni wazi kabisa eminem angechukua ni Michael Jackson wa Hip hop

Ukija huku kwenye mitindo huru frreestyles na cyphers, ni mnyama .

Waliowahi kuingia 18 zake wengi walipotezwa, pengine cheo sahihi cha kumpa Eminem ni "Un-beefwithable"
Wewe ni nani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unajua Auto tune? Eminem ametoka kizazi feki na ile sio sauti yake ukimuweka live hawezi kurap vile anatumia sauti fake (Auto tune, distortion, overlap etc) ndio maana hawi regarded kama mwana Hiphop bora.

Kina rakim, 2pac, Nas, B.i.g Jay Z etc wanakuwa regarded kama bora zaidi.
Mhmh kila mtu ana maoni yake

Yani mkuu umeongea bonge la tope, nikekushusha hadhi sana nilijuaga unajua vitu kumbe mweupe hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazee music unahama sana kutokana na historia nyakati legacy na nn unataka kwny game.

Eminem ni miongoni mwa wasanii wakubwa na nguli kwny misingi yote ya hip hop ila waliomtangulia wana heshima yake na yy mwnyew ashawahi kukiri kwa PAC ni level nyingne..
Mtu unayemcompare PAC au notorious na eminem nina wasiwasi sana na uelewa wako na old school hip hop.

Kwangu mm eminem ni mkali kwao detroit na aliwahi kumkarisha king of freestyle kule detroit mpaka jamaa akaacha kuchana tena.[emoji3][emoji3]

Mtu kama jay Z kipindi anaanza music alikuwa zaid ya eminem wawili waungane pamoja alikuwa anafanya kila kitu akaachaga music coz haukuwa na hela...alivyorudishwa na washikaji kwny game na kuelekezwa aina ya music mwny hela akawa soft hadi leo.

BIG ana clip yake ana freestyle mtaan akiwa na miaka 16 youtube ndo freestyle bora ya eminem mpaka leo afu mtu mmoja toka Tz unasema jamaa wanapaishwa na vifo[emoji3][emoji3]
Kwny lyrics,delivery na mtililiko sahihi wa ngoma sikiliza ngoma za Pac ni dope
 
Back
Top Bottom