Mkuu una mtazamo sawa na wangu....Eminem ni Greatest of All Time. Kwa hilo sinaga mjadala hata Kidogo. Kina Notorious na Pac wanakuzwa na vifo vyao tu ila muziki wao ni below Em's.
Unaambiwa Kanye alirudia kuandika verse yake mara tatu baada ya kuingia studio na kusikiliza verse ya Eminem kwenye Forever ya Drake. Em alichora verse ile ndani ya dk 10.
50 alifuta na kuandika upya verse yake kwenye Crack a bottle.
Lil wayne alihanya sana kwendana na kasi ya mshikaji kwenye Drop a world.
Mifano ni mingi sana, hao blacks wenyewe wanaujua moto wa Eminem. Alafu unaambiwa anaandikaga kutoka kushoto kwenda kulia then next line kutoka kulia kwenda kushoto, mara kutoka chini kwenda juu yaan vagalant. Msanii pekee anachora mistari kwa mtindo wa cross-multiplication. Yaani huwezi kusoma ukaelewa.
Wanaosema kwamba vifo vya Pac na Big ni vikubwa kuliko muziki wao nawatangaza kama AIBU YA KWENYE HIPHOP. Hao jamaa walifanya maajabu yao katika umri mdogo... watu kama hao hutokea mara chache sana. Kwa mfano Bob Marley naye alifariki akiwa bado mbichi kabisa ila aliyoyafanya yanaishi hadi leo. Kwa pamoja tuelekee You Tube tukaangalie LIVE shows za hao miamba wawili halafu tuje tujadili ni marapa wangapi wenye energies walizokuwa nazo.
Wazee music unahama sana kutokana na historia nyakati legacy na nn unataka kwny game.
Eminem ni miongoni mwa wasanii wakubwa na nguli kwny misingi yote ya hip hop ila waliomtangulia wana heshima yake na yy mwnyew ashawahi kukiri kwa PAC ni level nyingne..
Mtu unayemcompare PAC au notorious na eminem nina wasiwasi sana na uelewa wako na old school hip hop.
Kwangu mm eminem ni mkali kwao detroit na aliwahi kumkarisha king of freestyle kule detroit mpaka jamaa akaacha kuchana tena.[emoji3][emoji3]
Mtu kama jay Z kipindi anaanza music alikuwa zaid ya eminem wawili waungane pamoja alikuwa anafanya kila kitu akaachaga music coz haukuwa na hela...alivyorudishwa na washikaji kwny game na kuelekezwa aina ya music mwny hela akawa soft hadi leo.
BIG ana clip yake ana freestyle mtaan akiwa na miaka 16 youtube ndo freestyle bora ya eminem mpaka leo afu mtu mmoja toka Tz unasema jamaa wanapaishwa na vifo[emoji3][emoji3]
Kwny lyrics,delivery na mtililiko sahihi wa ngoma sikiliza ngoma za Pac ni dope
Dunia inabadilika sana na ladha ya muziki inabadilika miongoni mwetu pia
Kizazi cha sasa sio rahisi kujua ukubwa wa kazi za akina Tupac Big Rakim nk
Eminem ni mtundu sana kwenye kurap na anafanya vizuri sana sokoni lakini yupo soft na ni aina ya wanamuziki wanaobenwa sana na maendeleo ya teknolojia kuzipa nyimbo zao upekee
Magwiji wa mambo ya hip hop kwenye vyanzo vyao vya kuaminika nadhani wote Em hayupo kwenye top 5 wachache wamemuweka kwenye top ten
Kwangu mimi Nas ndio GOAT wa ukweli aliyebakia anaishi
Kwa bahati mbaya sana miziki ya siku hizi kwa kiasi kikubwa inapimwa tu mainstreams kama mauzo na streaming
Ndio maana hata sasa kuna kizazi kinaanza kutuaminisha Lil Nas X ndie atakua Raper bora kabisa kuwahi kutokea sababu ya kazi zake zinavyopokelewa kwa ukubwa

Nas.....
Namkubali, ila nyimbo zake nyingi ni harakati za mtu mweusi( kama sio za watu wa hali ya chini)....
Eminem yupi ambaye yuko soft mkuu?
Eminem yupi anayebebwa na maendeleo ya Teknology? ( Album bora kwangu ni The Eminem Show, je ilibebwa na maendeleo ya Technology?)
Eminem yupi huyo ambaye anakimbiza kwa streams tu, Eminem ashakuwa star kipindi ambacho DVD hazipo bongo ( na kama zipo ni kwa uchache)....
Unafahamu mauzo ya albums zake ( hard copy), mpaka useme ni streams tu ?
Eminem anajua acheni masihara Nyie......

Narudia tena ni kweli Eminem anafanya vizuri sana SOKONI ntakupa sababu
Watu tunakataa ubaguzi wa rangi lakini kwanamna ya maisha yetu upo na utarndelea kuwepo hata kama tutajifanya hatuuzungumzi
Mauzo ambayo ndio rekodi za Eminem zinabebwa pia na uzungu wake
Ikumbukwe kuwa Rap ni muziki wa watu weusi na haupendwi na wazungu walio wengi.... ulikua unawatukana wazungu
Eminem alipofanya vizuri akapata audience mbili ya weusi na wazungu wenzake ambao walimsapoti kwa kuona wazungu pia wanaweza kufanya rap inayolingiwa na weusi....... kushindana na Eminem kimauzo utakwama
Manguli kama Nas hakuna mzungu anataka kuwasikiliza
Nas katoa King disease album haijashika kabisa soko lakini Lil Nas X nakimbiza hatari na show zake zote ticket sold out sababu anaimba na kukubalika na mashabiki wa rangi zote
Lakini binafsi nafikiri ingependeza ubora wa Rap utengenishwe kwa vizazi vyake pia, kulinganisha wanaharakati akina Rakim na hawa commercial akina Dreak Em nk inakua sio sawa
Eminem ni mzuri sana lakini kamwe katu abadan hawezi kuwa GOAT
Narudia tena ni kweli Eminem anafanya vizuri sana SOKONI ntakupa sababu
Watu tunakataa ubaguzi wa rangi lakini kwanamna ya maisha yetu upo na utarndelea kuwepo hata kama tutajifanya hatuuzungumzi
Mauzo ambayo ndio rekodi za Eminem zinabebwa pia na uzungu wake
Ikumbukwe kuwa Rap ni muziki wa watu weusi na haupendwi na wazungu walio wengi.... ulikua unawatukana wazungu
Eminem alipofanya vizuri akapata audience mbili ya weusi na wazungu wenzake ambao walimsapoti kwa kuona wazungu pia wanaweza kufanya rap inayolingiwa na weusi....... kushindana na Eminem kimauzo utakwama
Manguli kama Nas hakuna mzungu anataka kuwasikiliza
Lakini binafsi nafikiri ingependeza ubora wa Rap utengenishwe kwa vizazi vyake pia
Eminem ni mzuri sana lakini kamwe katu abadan hawezi kuwa GOAT
Mi kwa Mtazamo wangu Em ni Mkali sana kla Rangi yake ni Kikwazo...Rakim,KRS one na watu kama Eric Sermon ni wazuri sana Eminem anawazidi ubunifu speed na Rythims...!
Huwa naona hivyo.....
Watu wanatangulia kukijua kifo chake.....alafu mziki ndio unafuatia.
Kuhusu EMINEM ni aina ya msanii ambaye anakupa kila aina ya radha kwenye rap....
Comedy, siasa, mapenzi, harakati, Majigambo,.....
Yaani vyote vinavyotakiwa kuimbwa.
Wazee music unahama sana kutokana na historia nyakati legacy na nn unataka kwny game.
Eminem ni miongoni mwa wasanii wakubwa na nguli kwny misingi yote ya hip hop ila waliomtangulia wana heshima yake na yy mwnyew ashawahi kukiri kwa PAC ni level nyingne..
Mtu unayemcompare PAC au notorious na eminem nina wasiwasi sana na uelewa wako na old school hip hop.
Kwangu mm eminem ni mkali kwao detroit na aliwahi kumkarisha king of freestyle kule detroit mpaka jamaa akaacha kuchana tena.[emoji3][emoji3]
Mtu kama jay Z kipindi anaanza music alikuwa zaid ya eminem wawili waungane pamoja alikuwa anafanya kila kitu akaachaga music coz haukuwa na hela...alivyorudishwa na washikaji kwny game na kuelekezwa aina ya music mwny hela akawa soft hadi leo.
BIG ana clip yake ana freestyle mtaan akiwa na miaka 16 youtube ndo freestyle bora ya eminem mpaka leo afu mtu mmoja toka Tz unasema jamaa wanapaishwa na vifo[emoji3][emoji3]
Kwny lyrics,delivery na mtililiko sahihi wa ngoma sikiliza ngoma za Pac ni dope
Jamaa anaonyesha hajawahi kwasikiliza kina Tupac na B.I.G maana kuwafananisha na Eminem ni matusi makubwa sana kwao Eminem hajawapita kwenye sehemu yoyote ile wala kuwafikia.
hata hizo verse hawezi kurap live vile, yani hili la eminem ku fake mbona linajulikana? ana nyimbo kibao anarap upesi upesi na haingizwi kwenye guiness? kuna screenshot nyingi tu zipo mitandaoni watu tofauti tofauti wa audio wanaonyesha anavyospeed, pia zipo live show anaonesha akivuta pumzi kuna jamaa wake anaitwa porter humsaidia akiishiwa pumzi.
kumaliza huu ubishi nakupa live jamaa ambaye yupo nyuma ya eminem akielezea wanavyofanya, shuka chini hadi utakuta hii sentesi
"The bridge vocals were overdubbed six times. We didn't use Auto‑Tune or anything like that: Em also gets his singing parts down quickly and accurately."
for the sake of discussion tumuamini huyo jamaa hawakutumia Autotune, ila wame dub sauti mara sita, unaimba mara ya kwanza, unarudia mara pili mpaka sita, then kuna namna wanamix ndio inatokea sauti ile nzuri unayoisikia na kuipenda (sauti fake ambayo real life hawezi kui produce)
Eminem's Recovery has been one of the biggest hit albums of the year, spawning two number one singles — all recorded and mixed by Eminem's long-term engineer, Mike Strange.
www.soundonsound.com
hivyo mkuu asilimia 99 ya wanamuziki wa sasa ni fake, nyimbo nyingi ni studio effect na vile wanavyoimba hawawezi kuviimba live, tofauti na hao ma legend kina RAKIM, 2pac etc
Dah...aisee..sorry kwa uandishi mbovu ila ntajitahidi... nimegundua humu wengi hamjasikiliza kwa undani 2pac songs mkajua wat he tried to deliver 2pac....2pac is more than a rapper..he truly a symbol for gangster lifestyle..ni mwanaharakati ,a gangster prophet...kiufupi in pac songs unapata strong and many themes than any rapper...ndio maana Kuna track kibao zimerudiwa na other rapper na zikabang mbaya mf me and my girlfriend wa jay z..hao wanaosema 2pac amebebwa na kifo chake siwaelewi hivi mmeshasikiliza album yake after he died...seven day theory Makaveli..mshasikia track inaitwa against all odds on that album...I guess y'all know what against all odds mean..mshasikiliza album ya all eyes on me...maana humu mmetaja 2 famous song kama vile dear mama,changes,do for love ,California love ...jaribuni kusikiliza other song like catching feelings, ambition as a rider(my favourite song as a rider) ...cause I had to..ningeandika sana but msimkosee heshima mshikaji he was very bright,genius at the age of 20-25...has strong voice, sauti ya mamlaka...Eminem ni soft sana kwa Tupac...other rapper I appreciate wa pili biggie small..Nas..jay z kwangu mm ni bora kuliko Eminem
Halafu nyimbo kama life goes on,how long will they mourn me,troublesome etc sio popular huku TZ lakini ni moja kati ya nyimbo kali za Tupac,hawa watu hawamjui bhana Tupac ndiyo maana wanamlinganisha eti na Eminem.
Jamaa anaonyesha hajawahi kwasikiliza kina Tupac na B.I.G maana kuwafananisha na Eminem ni matusi makubwa sana kwao Eminem hajawapita kwenye sehemu yoyote ile wala kuwafikia.
Mkuu unajua Auto tune? Eminem ametoka kizazi feki na ile sio sauti yake ukimuweka live hawezi kurap vile anatumia sauti fake (Auto tune, distortion, overlap etc) ndio maana hawi regarded kama mwana Hiphop bora.
Kina rakim, 2pac, Nas, B.i.g Jay Z etc wanakuwa regarded kama bora zaidi.
Halafu nyimbo kama life goes on,how long will they mourn me,troublesome etc sio popular huku TZ lakini ni moja kati ya nyimbo kali za Tupac,hawa watu hawamjui bhana Tupac ndiyo maana wanamlinganisha eti na Eminem.
Siwezi kuongea kwa niaba ya watu wenye asili ya africa wote wanaopenda hip hop, wawe wabongo, wamarekani weusi, waingereza , n.k, lakini wacha nitoe maoni yangu, Eminem is the goat (great of all time), hata uweke big na 2pac bado sana.
Kwangu mimi hali ni tofauti, huwa sijali rangi, nachojali ni lyrics, delivery, word play, nk, na hapa ndipo napojua hakuna msanii wa kumfikia eminem kukitendea miujiza kipaza sauti na kutumia kalamu vizuri kuandaa mlyrics amazing.
Sote tunajua hip hop ilitengenezwa na kuchochewa na watu weusi, na hapa ndipo kuna baadhi ya watu wenye hii asili wanakuwa wagumu mno kukubali uhalisia kwamba Eminem ni mzungu na anafanya poa zaidi ya rappers weusi, hisia zinatumika kupinga badala ya kutumia akili kukubali ukweli.
Laiti Eminem angekuwa ni mweusi, basi ni wazi kabisa eminem angechukua ni Michael Jackson wa Hip hop
Ukija huku kwenye mitindo huru frreestyles na cyphers, ni mnyama .
Waliowahi kuingia 18 zake wengi walipotezwa, pengine cheo sahihi cha kumpa Eminem ni "Un-beefwithable"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.