hayo ndio matatizo ya masikini akipata, anajisahau... sidhani kama kuachana na mkewe ndio kumechangia hayo yote, kuna jambo nyuma ya pazia amabalo lilipelekea ufujaji wa pesa aidha kwa starehe, kamari na michepuko..... moja ya watu wanaowindwa sana na wale madada poa high class ni footballers, yes wanajua kama ni cash ipo,,, na ukizingatia waafrika tunapenda sana ile kitu....
rejea mifano kadhaa ya african players ambao walishawahi kuingia kwenye hii crisis... eric djemba djemba, kina alhaji dioph na wengineo.....