Emmanuel Eboue hali mbaya, Mke amfilisi

Emmanuel Eboue hali mbaya, Mke amfilisi

hayo ndio matatizo ya masikini akipata, anajisahau... sidhani kama kuachana na mkewe ndio kumechangia hayo yote, kuna jambo nyuma ya pazia amabalo lilipelekea ufujaji wa pesa aidha kwa starehe, kamari na michepuko..... moja ya watu wanaowindwa sana na wale madada poa high class ni footballers, yes wanajua kama ni cash ipo,,, na ukizingatia waafrika tunapenda sana ile kitu....
rejea mifano kadhaa ya african players ambao walishawahi kuingia kwenye hii crisis... eric djemba djemba, kina alhaji dioph na wengineo.....
 
9c12a49b6cef088c89f2188c26de49de.jpg


Kwa msiojua, huyo ndo ebou
 
Huu ndio usenge wa kumwambia mwanamke kila siri yako na kuacha kuwekeza home maana ni ngumu MTU kuja kukuonea home. Anatamani kurudi home ila aibu imemkuta.
Kuoa mzungu sio tatizo ila angewekeza zaidi home na sehemu zingine na kidogo hapo UK na ikibidi mke asingejua lolote au angejua nusu.
 
Nilishasema humu hizo kumma za kizungu ni za kudinya na kusepa tu sio kuoa, wengi wa waafrika waliooa wazungu wanasafa ile mbaya kwa namna tofauti tofauti- sheria, ubaguzi( hasa wa rangi) mila na desturi tunatofautiana nao sana hao ngozi nyeupe.

Nilikosana na yule dada wa kijerumani baada ya kudemand kwa nguvu zake zoote nimuoe wakati huo broo wangu katoka hukohuko na ameshanipa michapo yote ya maisha ya kule hasa ubaguzi wa rangi na ubaguzi kwa ujumla wake
 
Back
Top Bottom