Nini gonjwa mama? Covid 19?View attachment 1708091
Taarifa kutoka Kanda ya Pwani ambayo imetolewa na Katibu wa Kanda hiyo Hemed Ally inaeleza kwamba Mh Lukumai amefariki katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kutokana na Matatizo ya Upumuaji.
Mh Lukumai alikuwa Mgombea ubunge wa Chadema wa Jimbo la Bagamoyo kwenye kile kilichoitwa uchaguzi Mkuu wa October 2020.
Tunamuomba Mwenyezi Mungu aiweke roho ya Marehemu mahali pema peponi , Amina .
AminaMungu ampe pumziko kamanda.....huu ugonjwa hauchagui mpinzan wala chama tawala......kila kifo kimebeba machungu kwa wapendwa na watu wa Karibu.......kushangilia kifo cha mwanadamu mwenzako ni ushetani......Pumzika Kamanda wana bagamoyo watakukumbuka kwa harakati zako za kupigania demokrasia.........
Hemed Ally hakufafanua , kasema tu ni changamoto ya kupumuaNini gonjwa mama? Covid 19?
wenzako wanasema magufuli ni mpango wa Mungu wewe unasema demonic leadershipA result of careless and demonic leadership.
Kejeli kwenye huzuni si jambo zuri mkuu.R.I.P
Lisu atakuja kwenye msiba?
Hata shetani ni mpango wa Mungu mkuu, wasikutoe barabarani hao mapepo wa Jiwe.wenzako wanasema magufuli ni mpango wa Mungu wewe unasema demonic leadership
Tanzania na corona sasa imekuwa siasa na watanzania wanaendelea kupotea kila saa kila siku. Ndugai yeye kajificha.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Hata shetani ni mpango wa Mungu mkuu, wasikutoe barabarani hao mapepo wa Jiwe.
Unatoa amri Mungu ampokee?!We Mungu mwenye huruma mpokee mja wako katika ufalme wako.
Kuuliza ni kejeli?Kejeli kwenye huzuni si jambo zuri mkuu.
Leo tumeambiwa wanaopata Corona ni wale wanaovaa Barakoa zinazotoka kwa Mabeberu tu.A result of careless and demonic leadership.