Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #41
Eee bhana eeee !!!Usiku wa kuamkia leo nilikuwa hospital fulani.. Kuna mtumishi wa serikali alilazwa hapo,aliwekewa oxygen..wiki nzima anayo..bahati nzuri anaendelea kupata nafuu.. Usiku akaletwa mzee mwenye hela zake (75+) pumzi imembana..,hamna mashine ya oxygen,zote zipo kwa wagonjwa.. Kimbembe kikaanza,vijana wa mzee wakalazimsha itolewe ya mtumishi(50),ambaye ameanza kupata ahueni.. Dr na nurses wakakomaa hakuna kutoa..wakampa mzee rufaa hosp ya mkoa na mtungi wa oxy,ulikuwa nusu.. Kwa kuwa yule mzee ni maarufu,ikapigwa simu kwa DC...wamekataa kuondoka...... Waliokuwa zamu wameitwa kwa DC ...
Umeandika uongoCovid19 imekuja kutufundisha kitu flani Kama Watanzania.
Wachumia siasa wachache, mwanzo walifkri kuwa Corona ikiingia Tanzania Basi itadhuru CCM au watu wa serikali tu, wakasahau kuwa Corona Ni janga la yeyote na halibagui chama Wala dini Wala kabila..
Acha Tuendelee kupata fundisho mpaka pale unafik utakapotupungua.
Hii changamoto itauwa watu wengi tusipojilinda
ndo walimkatakaza kuchukua tahadhari?A result of careless and demonic leadership.
Rais! mbona watu wameisha!!View attachment 1708091
Taarifa kutoka Kanda ya Pwani ambayo imetolewa na Katibu wa Kanda hiyo Hemed Ally inaeleza kwamba Mh Lukumai amefariki katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kutokana na Matatizo ya Upumuaji.
Mh Lukumai alikuwa Mgombea ubunge wa Chadema wa Jimbo la Bagamoyo kwenye kile kilichoitwa uchaguzi Mkuu wa October 2020.
Tunamuomba Mwenyezi Mungu aiweke roho ya Marehemu mahali pema peponi, Amina.
Mh Charles cheziba Naye nikasikia hatunaye tena. Hii corona hii,Poleni
Huyo huyoHeh......Cheziba yule msukuma?
ikitokea kwao hutakiwi kuuliza ni kejeri kwa wenzao sawa tu wao kukejeri.Kuuliza ni kejeli?
Kwani aiwezekani Lisu kuja kwenye msiba?
Wakifa wengine uwa wanafurahi kabisa kwa kinywa kipana sana,ila akifa wa kwao ndo nchi nzima iwe na huzuni.ikitokea kwao hutakiwi kuuliza ni kejeri kwa wenzao sawa tu wao kukejeri.
Poleni jamanii. Kwakweli hata mimi imeniuma kuona kamanda wetu naye anatutoka gaflaaa.View attachment 1708091
Taarifa kutoka Kanda ya Pwani ambayo imetolewa na Katibu wa Kanda hiyo Hemed Ally inaeleza kwamba Mh Lukumai amefariki katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kutokana na Matatizo ya Upumuaji.
Mh Lukumai alikuwa Mgombea ubunge wa Chadema wa Jimbo la Bagamoyo kwenye kile kilichoitwa uchaguzi Mkuu wa October 2020.
Tunamuomba Mwenyezi Mungu aiweke roho ya Marehemu mahali pema peponi, Amina.
Taarifa ya kwamba ni matatizo ya upumuaji umezitoa wapi ndugu?View attachment 1708091
Taarifa kutoka Kanda ya Pwani ambayo imetolewa na Katibu wa Kanda hiyo Hemed Ally inaeleza kwamba Mh Lukumai amefariki katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kutokana na Matatizo ya Upumuaji.
Mh Lukumai alikuwa Mgombea ubunge wa Chadema wa Jimbo la Bagamoyo kwenye kile kilichoitwa uchaguzi Mkuu wa October 2020.
Tunamuomba Mwenyezi Mungu aiweke roho ya Marehemu mahali pema peponi, Amina.
soma tena uzi ueleweTaarifa ya kwamba ni matatizo ya upumuaji umezitoa wapi ndugu?
Bora kujificha kwa Sasa. Anaweza kuwa na underlining conditions..... Hivyo yuko vulnerable!!Tanzania na corona sasa imekuwa siasa na watanzania wanaendelea kupotea kila saa kila siku. Ndugai yeye kajificha.