TANZIA Emmanuel Majura amefariki Dunia

TANZIA Emmanuel Majura amefariki Dunia

Kwa masikitiko makubwa, nawajulisha kwamba ndugu yetu Emmanuel Majura amefariki dunia. Imma alikua mwanafunzi wa mwaka wa pili, akisomea uongozaji wa Filamu Taasisi ya sanaa Bagamoyo (TASUBA), akisomeshwa na GH Foundation.

Kwa wale mnaokumbuka Imma amekua na historia ngumu tangu utoto wake. Inadaiwa Mama yake alipewa mimba na mwanaume ambaye aliikataa. Kwahiyo akamzaa Imma na alipofikisha miezi 6 maisha yakawa magumu sana. Hivyo akaenda kuomba kazi za ndani kwa mzee Majura aliyekua mstaafu wa shirika la reli.

Lakini mama Imma alitoroka na kumuacha Imma kwa mzee huyo akiwa na miezi 6 tu. Mzee Majura alimlea Imma kama mjukuu wake na akamsomesha hadi alipomaliza kidato cha nne. Lakini alipata infection kwenye ngozi ya juu inayofunika ubongo (dura mater) na akaharibika sehemu ya fuvu lake upande wa mbele, akawa anatoka usaha masikioni na puani.

Alifanyiwa operation mbili KCMC bila mafanikio. Lakini watanzania kwa umoja wetu kupitia GH Foundation tulimsaidia akaletwa MOI ambapo alifanyiwa operation 3 ikiwemo ya kuondoa sehemu ya fuvu iliyoharibika na kuwekewa fuvu bandia (bone cement). Imma alipona na akaamua kurudi shule, ambapo alichagua kwenda kusoma Uongozaji wa filamu, Taasisi ya sanaa Bagamoyo (TASUBA).

Imma amefariki jana jumapili huko Bagamoyo na ibada ya mazishi itafanyika kesho jumanne chuoni TASUBA, kisha maziko yatafanyika katika makaburi ya Kikristo Bagamoyo mjini.

Mungu awabariki wote mliopata nafasi ya kugusa maisha ya Imma alipokua hai. Katika umri mdogo wa miaka 23 amepitia magumu mengi. Kwa bahati mbaya amekufa bila kuwajua ndugu zake wa damu, lakini angalau Mungu alituinua sisi kuwa ndugu zake. Kwaheri mdogo wangu Imma, tutaonana tena ng'ambo ya mto 😭😭
Credit: Malisa G.J
View attachment 3173474
Historia yàke ya kipekee sana.
Huyu mzee Majura yupo hai? Anà kiti chake VIP peponi. Mungu ambariki sana.
 
R.I.P gentleman
 
Rip kaka Emmanuel...
 
Huyu mama kuacha mtoto wa miezi 6 tena kwa watu baki na sio ndugu zake,kweli wanawake Mungu anawaona,poleni wafiwa na Mungu atujalie mwisho mwema...
 
Mshana , nilikuwa out of contact kwa siku kama 5 hivi. Kikao cha kamati kuu ya chadema walitoa azimio gani kuhusu uchaguzi?
Tutashirikishana mkuu ila mambo ni tofauti na yanavyoripotiwa na machawa ya chama chawala
 
Kwa masikitiko makubwa, nawajulisha kwamba ndugu yetu Emmanuel Majura amefariki dunia. Imma alikua mwanafunzi wa mwaka wa pili, akisomea uongozaji wa Filamu Taasisi ya sanaa Bagamoyo (TASUBA), akisomeshwa na GH Foundation.

Kwa wale mnaokumbuka Imma amekua na historia ngumu tangu utoto wake. Inadaiwa Mama yake alipewa mimba na mwanaume ambaye aliikataa. Kwahiyo akamzaa Imma na alipofikisha miezi 6 maisha yakawa magumu sana. Hivyo akaenda kuomba kazi za ndani kwa mzee Majura aliyekua mstaafu wa shirika la reli.

Lakini mama Imma alitoroka na kumuacha Imma kwa mzee huyo akiwa na miezi 6 tu. Mzee Majura alimlea Imma kama mjukuu wake na akamsomesha hadi alipomaliza kidato cha nne. Lakini alipata infection kwenye ngozi ya juu inayofunika ubongo (dura mater) na akaharibika sehemu ya fuvu lake upande wa mbele, akawa anatoka usaha masikioni na puani.

Alifanyiwa operation mbili KCMC bila mafanikio. Lakini watanzania kwa umoja wetu kupitia GH Foundation tulimsaidia akaletwa MOI ambapo alifanyiwa operation 3 ikiwemo ya kuondoa sehemu ya fuvu iliyoharibika na kuwekewa fuvu bandia (bone cement). Imma alipona na akaamua kurudi shule, ambapo alichagua kwenda kusoma Uongozaji wa filamu, Taasisi ya sanaa Bagamoyo (TASUBA).

Imma amefariki jana jumapili huko Bagamoyo na ibada ya mazishi itafanyika kesho jumanne chuoni TASUBA, kisha maziko yatafanyika katika makaburi ya Kikristo Bagamoyo mjini.

Mungu awabariki wote mliopata nafasi ya kugusa maisha ya Imma alipokua hai. Katika umri mdogo wa miaka 23 amepitia magumu mengi. Kwa bahati mbaya amekufa bila kuwajua ndugu zake wa damu, lakini angalau Mungu alituinua sisi kuwa ndugu zake. Kwaheri mdogo wangu Imma, tutaonana tena ng'ambo ya mto 😭😭
Credit: Malisa G.J
View attachment 3173474
Daaa,huyu mzee Majura yupo hai?
Kuna watu Wana Roho nzuri Sana.
Kijana kamaliza mwendo,.
""Kuishi Ni Kristo na kufa Ni faida"",says the Bible.
 
Buriani
 
So sad
Rest Easy soldier
 
Back
Top Bottom