TANZIA Emmanuel Majura amefariki Dunia

Historia yΓ ke ya kipekee sana.
Huyu mzee Majura yupo hai? AnΓ  kiti chake VIP peponi. Mungu ambariki sana.
 
R.I.P gentleman
 
Rip kaka Emmanuel...
 
Huyu mama kuacha mtoto wa miezi 6 tena kwa watu baki na sio ndugu zake,kweli wanawake Mungu anawaona,poleni wafiwa na Mungu atujalie mwisho mwema...
 
Mshana , nilikuwa out of contact kwa siku kama 5 hivi. Kikao cha kamati kuu ya chadema walitoa azimio gani kuhusu uchaguzi?
Tutashirikishana mkuu ila mambo ni tofauti na yanavyoripotiwa na machawa ya chama chawala
 
Daaa,huyu mzee Majura yupo hai?
Kuna watu Wana Roho nzuri Sana.
Kijana kamaliza mwendo,.
""Kuishi Ni Kristo na kufa Ni faida"",says the Bible.
 
Buriani
 
So sad
Rest Easy soldier
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…