Emmanuel Mbasha amtakia heri ya kuzaliwa mtalaka wake, Flora (Mbasha) Kusekwa

Emmanuel Mbasha amtakia heri ya kuzaliwa mtalaka wake, Flora (Mbasha) Kusekwa

Jamaa ameshindwa kumove on kabisa, anaazima magari ya watu anapigia picha aonekane kafanikiwa bila frola. Mapenzi kwa kweli ni kitu cha kipekee sana yana nguvu omba Mungu usikutane na situation anayopitia Mbasha kwa sasa unaweza muona sio mwanaume wa kweli ila kwa anayopitia ni kumhurumia tu sio kumcheka.
Moja ya mambo mabaya na magumu ni kutokubali kuanza upya pale unapoporomoka ama kuharibikiwa
 
Uyu ukikutana nae unaeza kumtia makofi..ila si shangai ni kawaida kwa wanaume wa dar huu ndo ubora wao
 
Mbona jamaa anaonekana ana Maisha mazuri kwa kuangalia post zake IG ....ina maana alikuwa analelewa au
 
Msaada wa kisaikolojia unahitajika pengine siyo kulaumu na kushutumu....mtu hachaguliwi staili ya kuishi.
 
Yaweza Florah mtamu sana .

Nimewaza tu.
kweli aisee....kuna wengine watamu, hawakinai. Halafu akutose sasa.....utajuta! Inataka kufanana na yule mganda 'aliyekufa' majuzi kyle SA.
 
Kwenye ukurasa wake wa Fb,Emma Mbasha amemtakia heri mkewe wa zamani Frola,kwa kuandika "Happy Birthday Mrs Daud Kusekwa"

Watu wa karibu wa Emmanuel Mbasha wanasema amekuwa na msongo wa mawazo kwa muda mrefu mara baada ya kutalikiana na mkewe.Hali hii imemfanya kuwa anajitahidi kupost hapa na pale matukio anayofanya yenye unasaba na starehe(kula bata) ili kuonyesha kuwa yupo "Ok"

Ila ukweli ni kuwa anateseka,na hasa ukizingatia alijijengea mazingira ya "umariooo",hali inayomfanya kuhangaika huku na kule

View attachment 517629
Mhm.... Hakuna sehemu tamu kam pale kat jamani hususan ukimpata mlieridhiana kam hao walivokua... Ni balaa pale kati asee cjui mungu wetu alipawekea nn pale, et wanawake em mtujuzen....

Ndo mana mamaa haach kutulia ata iweje, hakika majuto ni mjukuu ....
 
ni kweli jamani kuna wakati wanaume tunajifanyaga tunajua sana kwa wapemzi wetu ila siku mkiachana ndipo inakuwa kasheshe, tunaanzaga kuweweseka weweseka kuwakumbuka kwa mazuri yao....



namwomba Mungu yasijetokea kama ya zarithebosslady na ivan.....


Mungu muepushie hili.
 
Masikin mbasha itakuwa hata msg za wizi wizi anamtumia florah, kwa hali hii inaonekana florah ndio kamtema mwenzie...afu flola ana kifua cha kuhimili kelele za wabongo na kusonga front, ila huyu mbasha daah sijui
 
Si bure huyu aliachwa inaonekana ni zmigo sana kwenye familia..
 
Namtetea Jamani.Mbasha alishamobe on.Na.ana MTU wake' Mtoto makali' sana ila hana kinyongoooooo.Mbona Sema alimuwish Tiffa birthday Tatizo wabongo unataka Biff..Akiweka Bifu oooh naumia..Yupo Positive..ooh alilelewa.Maisha anayoishi Mbasha kwa Sasa ..Wengi wetu hatuna.Kuna majuzi tu Mzee Mengi kamtunza mamilion wakati anaimbaaa.Kuimba anajuaaa .Unasema Hajui wewe unajua???Ebu tumuwacheeeeee
 
Back
Top Bottom