Emmanuel Mbasha amtakia heri ya kuzaliwa mtalaka wake, Flora (Mbasha) Kusekwa

Emmanuel Mbasha amtakia heri ya kuzaliwa mtalaka wake, Flora (Mbasha) Kusekwa

Huyo full kulewaaa tuu...

Halafu kwa nini marioo wakiachwaa huwagaa hawaoii[emoji15] [emoji15] [emoji15]
SASA ATOAJE KWA MFANO NA MWANAWAKE WANAHITAJI MATUMIZI HUNA MSHIKO WALA NINI,KAZI KWAKO WABEBE HATA ZEGE
 
Jamaa ni mario, ndio maana hata flora aliona chakufia nini, akatupa zigo chini. Angekua ni muhangaikaji na maisha kama siye wengine hii ajali ya mapenzi aliyoipata isinge muathiri pakubwa.
Huyo sio mario ioa bado hajapata mbadala Wa frola
 
Ustawi wa jamii wako wap. Au ni kwa ke tu[emoji4] [emoji4]
 
Kati ya mademu "wakavu " duniani Frola anabeba taji asee..
Unaongelea 'ukavu' upi labda?..kama ukavu yani kukausha kama hamjui basi flora sio mkavu jina limembeba tu, witnessj kuna wanawake wakavu anakuacha afu anatembea na rafiki ako tena anaforce mbele yako hapo ndo unavurugwa umchukie yupi!!..
 
Mkioana,muoane kwa wema.na mkiachana,muachane kwa wema
 
Jamaa ameshindwa kumove on kabisa, anaazima magari ya watu anapigia picha aonekane kafanikiwa bila frola. Mapenzi kwa kweli ni kitu cha kipekee sana yana nguvu omba Mungu usikutane na situation anayopitia Mbasha kwa sasa unaweza muona sio mwanaume wa kweli ila kwa anayopitia ni kumhurumia tu sio kumcheka.

What a weakness in man's character? Lazima asonge mbele hakuna namna
 
kuachwa kunauma. Pole mkubwa, lakini ungevuta na wewe , usiendelee kufuata kivuli.
 
Baada ya kusoma huu uzi ndo nikakumbuka kuwa jana ilikuwa birthday ya ex wangu, kweli maisha yana move fast tena kwa speed ya light!
 
Unaongelea 'ukavu' upi labda?..kama ukavu yani kukausha kama hamjui basi flora sio mkavu jina limembeba tu, witnessj kuna wanawake wakavu anakuacha afu anatembea na rafiki ako tena anaforce mbele yako hapo ndo unavurugwa umchukie yupi!!..
Mkuu we acha tuu...kuna interview moja juzikati aliifanya ebana daah....

Kati ya watu wasioogopa maneno ya walimwengu yy wa kwanza...

She 's strong [emoji123] [emoji123]
 
Back
Top Bottom