ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 17,640
- 22,748
kirahisrahis tu eeeeehhuyu nae hakubaliani na matokeo umeshaachwa kufa na tai shingoni mpaka usahau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kirahisrahis tu eeeeehhuyu nae hakubaliani na matokeo umeshaachwa kufa na tai shingoni mpaka usahau
Wivu huo.Huyu nae kiherehere anywe maji apumzike
Jamaa ni mario, ndio maana hata flora aliona chakufia nini, akatupa zigo chini. Angekua ni muhangaikaji na maisha kama siye wengine hii ajali ya mapenzi aliyoipata isinge muathiri pakubwa.Jamaa ameshindwa kumove on kabisa, anaazima magari ya watu anapigia picha aonekane kafanikiwa bila frola. Mapenzi kwa kweli ni kitu cha kipekee sana yana nguvu omba Mungu usikutane na situation anayopitia Mbasha kwa sasa unaweza muona sio mwanaume wa kweli ila kwa anayopitia ni kumhurumia tu sio kumcheka.
Haaaa hahanimejaribu kufwatilia maoni mengi ya wanawake yamekaa kikatili hayana chembe ya huruma. nyie wanawake roho mbaya mmeipata wapi?
>nyie ndo kila siku mnalialia kutafuta huruma na sisi tunawafariji lakini likija swala la sisi mnauvaa ukatili.
>tutafika tuu!!!!!!
Haaaa haaaa...hadi hurumaa mweee!![emoji23] [emoji23] [emoji23]nimejaribu kufwatilia maoni mengi ya wanawake yamekaa kikatili hayana chembe ya huruma. nyie wanawake roho mbaya mmeipata wapi?
>nyie ndo kila siku mnalialia kutafuta huruma na sisi tunawafariji lakini likija swala la sisi mnauvaa ukatili.
>tutafika tuu!!!!!!
Huyo full kulewaaa tuu...G HABBASH NAYE VEPE?
Teh teh tehhuyu nae hakubaliani na matokeo umeshaachwa kufa na tai shingoni mpaka usahau
Jamaa ni mario, ndio maana hata flora aliona chakufia nini, akatupa zigo chini. Angekua ni muhangaikaji na maisha kama siye wengine hii ajali ya mapenzi aliyoipata isinge muathiri pakubwa.
Jamaa ameshindwa kumove on kabisa, anaazima magari ya watu anapigia picha aonekane kafanikiwa bila frola. Mapenzi kwa kweli ni kitu cha kipekee sana yana nguvu omba Mungu usikutane na situation anayopitia Mbasha kwa sasa unaweza muona sio mwanaume wa kweli ila kwa anayopitia ni kumhurumia tu sio kumcheka.
yanaumiza ndio lakini akubaliane na halikirahisrahis tu eeeeeh
mambo lakin....... mekumisyanaumiza ndio lakini akubaliane na hali
MKUU HAKUNA WATU WANAHURUMA & UVUMILIVU KAMA WANAWAKE HAKUNA MFANO WAKE LKN IKIFIKA MWAISHO HAKUNA ANAYEWEA KUZIMA MOTO WAKE TUMEUMBWA NA SUBRA SANAnimejaribu kufwatilia maoni mengi ya wanawake yamekaa kikatili hayana chembe ya huruma. nyie wanawake roho mbaya mmeipata wapi?
>nyie ndo kila siku mnalialia kutafuta huruma na sisi tunawafariji lakini likija swala la sisi mnauvaa ukatili.
>tutafika tuu!!!!!!
poa tu ze dudu za kwakomambo lakin....... mekumis