Emmanuel Mbasha amtakia heri ya kuzaliwa mtalaka wake, Flora (Mbasha) Kusekwa

Ni Mbasha alitoa talaka kwa Flora au ni Flora ndie aliomba talaka hamtaki Mbasha?
 
Hajamove on, aache kuprove kwa watu kuwa yupo OK, ajifunze somo kwa marehemu Ivan. Kuachwa kubaya asipolet it go, ataishia kufa kama marehemu Ivan.
 
nimejaribu kufwatilia maoni mengi ya wanawake yamekaa kikatili hayana chembe ya huruma. nyie wanawake roho mbaya mmeipata wapi?

>nyie ndo kila siku mnalialia kutafuta huruma na sisi tunawafariji lakini likija swala la sisi mnauvaa ukatili.

>tutafika tuu!!!!!!
 
Jamaa ameshindwa kumove on kabisa, anaazima magari ya watu anapigia picha aonekane kafanikiwa bila frola. Mapenzi kwa kweli ni kitu cha kipekee sana yana nguvu omba Mungu usikutane na situation anayopitia Mbasha kwa sasa unaweza muona sio mwanaume wa kweli ila kwa anayopitia ni kumhurumia tu sio kumcheka.
Jamaa ni mario, ndio maana hata flora aliona chakufia nini, akatupa zigo chini. Angekua ni muhangaikaji na maisha kama siye wengine hii ajali ya mapenzi aliyoipata isinge muathiri pakubwa.
 
Haaaa haha
 
Haaaa haaaa...hadi hurumaa mweee!![emoji23] [emoji23] [emoji23]

Nyie si mnajifanyaga mabandinduu[emoji57] [emoji57] [emoji57]

Kutana na kitu ka Frola
 
Asije tu akafa kifo kisababishwacho na msongo wa mawazo! maana mapenzi bhnaaaa
 
Si asahau yapite jamani! au anatafuta kufa ghafla kama mwenzie!! msongo wa mawazo mbaya sana.
 
Jamaa ni mario, ndio maana hata flora aliona chakufia nini, akatupa zigo chini. Angekua ni muhangaikaji na maisha kama siye wengine hii ajali ya mapenzi aliyoipata isinge muathiri pakubwa.

unayajua maisha yake au unayasikia tu?
 
Jamaa ameshindwa kumove on kabisa, anaazima magari ya watu anapigia picha aonekane kafanikiwa bila frola. Mapenzi kwa kweli ni kitu cha kipekee sana yana nguvu omba Mungu usikutane na situation anayopitia Mbasha kwa sasa unaweza muona sio mwanaume wa kweli ila kwa anayopitia ni kumhurumia tu sio kumcheka.

na kweli Ivan na utitiri wa pesa alishindwa move on ni Mbasha Mungu ampe nguvu
 
nimejaribu kufwatilia maoni mengi ya wanawake yamekaa kikatili hayana chembe ya huruma. nyie wanawake roho mbaya mmeipata wapi?

>nyie ndo kila siku mnalialia kutafuta huruma na sisi tunawafariji lakini likija swala la sisi mnauvaa ukatili.

>tutafika tuu!!!!!!
MKUU HAKUNA WATU WANAHURUMA & UVUMILIVU KAMA WANAWAKE HAKUNA MFANO WAKE LKN IKIFIKA MWAISHO HAKUNA ANAYEWEA KUZIMA MOTO WAKE TUMEUMBWA NA SUBRA SANA
 
Back
Top Bottom