Moja ya mambo mabaya na magumu ni kutokubali kuanza upya pale unapoporomoka ama kuharibikiwaJamaa ameshindwa kumove on kabisa, anaazima magari ya watu anapigia picha aonekane kafanikiwa bila frola. Mapenzi kwa kweli ni kitu cha kipekee sana yana nguvu omba Mungu usikutane na situation anayopitia Mbasha kwa sasa unaweza muona sio mwanaume wa kweli ila kwa anayopitia ni kumhurumia tu sio kumcheka.
siri ya mtungi mzee aijuaye katamshikaji anahangaika sana yn......nadhani bado ana mapenz na hako kademu
kweli aisee....kuna wengine watamu, hawakinai. Halafu akutose sasa.....utajuta! Inataka kufanana na yule mganda 'aliyekufa' majuzi kyle SA.Yaweza Florah mtamu sana .
Nimewaza tu.
Mhm.... Hakuna sehemu tamu kam pale kat jamani hususan ukimpata mlieridhiana kam hao walivokua... Ni balaa pale kati asee cjui mungu wetu alipawekea nn pale, et wanawake em mtujuzen....Kwenye ukurasa wake wa Fb,Emma Mbasha amemtakia heri mkewe wa zamani Frola,kwa kuandika "Happy Birthday Mrs Daud Kusekwa"
Watu wa karibu wa Emmanuel Mbasha wanasema amekuwa na msongo wa mawazo kwa muda mrefu mara baada ya kutalikiana na mkewe.Hali hii imemfanya kuwa anajitahidi kupost hapa na pale matukio anayofanya yenye unasaba na starehe(kula bata) ili kuonyesha kuwa yupo "Ok"
Ila ukweli ni kuwa anateseka,na hasa ukizingatia alijijengea mazingira ya "umariooo",hali inayomfanya kuhangaika huku na kule
View attachment 517629
Usidanganyike hata siku moja na picha za mtandaoni 99% haziakisi maisha halisi ya mhusikaMbona jamaa anaonekana ana Maisha mazuri kwa kuangalia post zake IG ....ina maana alikuwa analelewa au