tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Mbasha ni mwanaume wa kuigwa! Ameweza kusamehe mke mchepukaji! Wanaume wote wangekuwa hivi mbona ndoa nyingi zingedumu!
Afadhali nini wakati Flora kaolewa majuzi na kijana mdogo kwake kwa umri!Afadhali