Emmanuel Nchimbi atalipa kisasi

Hivi kauli ya jana ya Dr Nchimbi Paul Makonda Mtoto wa Chato alijisikiaje?
 
Huwa nafananishaga sana umakini na misimamo ya Mh.Nchimbi na misimamo ya Hayati Mzee Mkapa.

Infact I see a lot of Benjamin Mkapa in Emmanuel Nchimbi.

Nadhani mama akimaliza muda wake hiyo 2025 akabidhiwe Nchimbi. He is presidential material
Huyo Nchimbi marafiki zake si ndio hao hao mafisadi wa ccm?
 
JPM alikuwa mshamba. Zaidi zaidi alijuwa kujenga mabarabara tu. Zile tapes alizowarekodi akina Makamba, Nape na Kinana ulikuwa ni UJINGA tu. Rais mzima unarekodi halafu unavujisha kwenye mitandao ya jamii.

Hivi nani hajui nguvu ya Mwenyekiti wa CCM? Nafuu Rais wa Tanzania unaweza kumkosoa lakini siyo Mwenyekiti wa CCM. ANYTIME anafuta Katibu Mkuu na kuteua mwingine.

Nchimbi ana akili hawezi kufanya UJINGA huo uliouandika hapo. Eti unasema akavujishe siri upande wa pili? Upande wa pili ni upi?
 
TEC st.peters Kila JP anapoenda kusali!!

Kama ilivyovuja mkataba wa DP world!

Kwani Dp ilivujaje!!? Yes ndio mwenuekiti na amiri jeshi mkuu!Sasa mzigo ulivujaje!!?

Jiulize kwanza hapo!!
 
Wewe Lipumbavu kabisa ! What kind of democracy is that ? What is she fearing in that old dilapidated mboga mboga party ?
Kama una hasira pasuka tu lakini huo ndio ukweli kuwa FOMU ya Urais ni moja tu kwa ajili ya Mh Dr Mama Samia Suluhu Hasssan ambaye ndiye mgombea pekee kupitia chama cha Mapinduzi
 
Unamjua vizuri. Tupe na rekodi yake pale chuo cha ushirika Moshi.
 
TEC st.peters Kila JP anapoenda kusali!!

Kama ilivyovuja mkataba wa DP world!

Kwani Dp ilivujaje!!? Yes ndio mwenuekiti na amiri jeshi mkuu!Sasa mzigo ulivujaje!!?

Jiulize kwanza hapo!!
Jifunze kuandika ndiyo ueleweke. Watu mumesoma MEMKWA mnataka na nyinyi muandike JF?
 
Nchimbi na Kikwete Kumbe picha haziendi ??!
Kwahiyo Mama na Kikwete kwa sasa ipo sintofahamu baina yao ??
Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini hii kitu !
Ngoja tuone
 
Hiyo paragraph ya tatu inaeleweka.
 
Siyo kosa lako Suzy, inaelekea kiongozi mzuri kwako ni yule anaekubali kila kitu kinachopendekezwa na mwenye mamlaka hata kama ni cha kijinga.

Uchaguzi wa 2015 Kikwete alikuwa na mgombea wake mfukoni. Akina Nchimbi kama waNEC hawakumtaka. Wewe ulitakaje kwa mfano.

Wewe unataka katibu mkuu atakaemtii Makonda? Unachekesha, inaonekana wewe ni Sukuma gang
 
ninachojua tu na nina uhakika nacho 100% ni kwamba makonda hajafikia hata tu 25% ya umafia alionao nchimbi hivyo awe makini mno yasije kumkuta na asije kuamini
 
Lakini Kimantiki Makonda ni aset zaidi ya Nchimbi! Hata Samia anajua hilo!
 
Makonda nae sio fala kama unavyodhani!
zaidi ya kutegemea ndumba hana jipya sasa huyo mwenzake kuanzia katika ndumba, umafia, mipango mipango, pesa za kimkakati na nguvu ya mafia wakubwa wa kisiasa nchini yuko vizuri na usisahau pia kuwa jamaa nchimbi pia ni mtu wa mfumo tena wale waliokuwa waandamizi kabisa
 
Lakini Kimantiki Makonda ni aset zaidi ya Nchimbi! Hata Samia anajua hilo!
Unayo haki na Uhuru wa maoni yako, lakini kusema kweli Makonda ni mzigo kwa CCM. Mbali na siasa za mabavu na kiki zisizokuwa na maana uaset wake unatoka wapi? Hata Sukuma Gang wenyewe wengi hawamkubali. Uteuzi wake kwenye nafasi hiyo ulenga ushawishi kwa kanda ya ziwa, lakini chair kashitukia baada ya kuona hakubaliki na ndiyo maana kamteuwe Nchimbi na siyo yeye baada ya kumfanyia figisu Chongolo aliyelazimishwa kujiuzuru?
 
Nchimbi yeye hatumii Ndumba? Unaushahidi Makonda anatumia Naomba?
 
Makonda anakubali ndo maana hata wewe kila leo unamfatilia!
Huyo Nchimbi ana ushawishi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…