Peaceforever
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,030
- 2,200
Sisi wengine hatujui chochote, tunasubiri tu muda uongee!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kauli ya jana ya Dr Nchimbi Paul Makonda Mtoto wa Chato alijisikiaje?Huyo GS mgeni wa CCM si mtu mwaminifu kwa Mamlaka hata japo kwa kiasi, na ndiyo maana alimgomea Kikwete na maamuzi yake ya 2015. Mbaya zaidi, alimgomea huku akiimba na mapambio kwa kupayuka na wazi akitambua alikuwa akifanya usaliti!
Nimhakikishie Samia, atambue anaye GS muunda makundi na asiye chelea kuunda maasi na asiye na uvumilivu hata kidogo!
Kingine, kwa hulka ya Emmanuel ni wazi pia hataweza kufanya kazi kwa amani na Paul Makonda. Hivyo, ni suala la muda tu wawili hao wataumizana na mmoja wao lazima atampisha nwingine kwa kupangiwa kazi nyingine.
Kwa hakika ya nafsi yangu, Nchimbi anaenda kutengeneza makundi ndani ya chama kama ilivyo kawaida yake.
Huyo Nchimbi marafiki zake si ndio hao hao mafisadi wa ccm?Huwa nafananishaga sana umakini na misimamo ya Mh.Nchimbi na misimamo ya Hayati Mzee Mkapa.
Infact I see a lot of Benjamin Mkapa in Emmanuel Nchimbi.
Nadhani mama akimaliza muda wake hiyo 2025 akabidhiwe Nchimbi. He is presidential material
JPM alikuwa mshamba. Zaidi zaidi alijuwa kujenga mabarabara tu. Zile tapes alizowarekodi akina Makamba, Nape na Kinana ulikuwa ni UJINGA tu. Rais mzima unarekodi halafu unavujisha kwenye mitandao ya jamii.Ishu ninkwamba atakua loyal kwake huku akivujisha mipango Kwa wale jamaa!
Hata jpm aliwaamini watu lakini wakawa wanatoa info site hadi deal done!!
Unapokua mkubwa mataarifa ni mengi Hadi kuchakata unashindwa umwamini yupi!!
Kwa hizo kauli ni rasmi jamaa anamwaminisha mteuzi kwamba nipo upande wako lakini mteuzi hawezi jua jamaa anawaza nini!!
Jpm aliimbwa sana kwa style hii hii Tena zaidi lakini mambo yakavuja sana!!
TEC st.peters Kila JP anapoenda kusali!!JPM alikuwa mshamba. Zaidi zaidi alijuwa kujenga mabarabara tu. Zile tapes alizowarekodi akina Makamba, Nape na Kinana ulikuwa ni UJINGA tu. Rais mzima unarekodi halafu unavujisha kwenye mitandao ya jamii.
Hivi nani hajui nguvu ya Mwenyekiti wa CCM? Nafuu Rais wa Tanzania unaweza kumkosoa lakini siyo Mwenyekiti wa CCM. ANYTIME anafuta Katibu Mkuu na kuteua mwingine.
Nchimbi ana akili hawezi kufanya UJINGA huo uliouandika hapo. Eti unasema akavujishe siri upande wa pili? Upande wa pili ni upi?
Ndani ya CCM fomu ya Urais ni moja kwa ajili ya Rais Samia na ndiye Rais wetu mpaka 2030
Kama una hasira pasuka tu lakini huo ndio ukweli kuwa FOMU ya Urais ni moja tu kwa ajili ya Mh Dr Mama Samia Suluhu Hasssan ambaye ndiye mgombea pekee kupitia chama cha MapinduziWewe Lipumbavu kabisa ! What kind of democracy is that ? What is she fearing in that old dilapidated mboga mboga party ?
Unamjua vizuri. Tupe na rekodi yake pale chuo cha ushirika Moshi.Wewe ndiye una matatizo ya kiakili .lakini kila mtanzania mwenye akili Timamu anatambua uwezo mkubwa wa kiakili na kiuongozi alionao mheshimiwa Makonda na mchango mkubwa katika Taifa letu. Ni Makonda alipokuwa RC Dar es salaam tuliona namna alivyoleta matokeo chanya na mabadiliko makubwa ya kiutendaji na huduma bora kwa wakazi wa jiji la Dar.hata Ndani ya UVCCM na chama kwa ujumla Mh Makonda amekuwa na mchango mkubwa sana na wakati wote amekipigania na kukitetea chama kwa nguvu zake zote. Ndio maana kwa kutambua uwezo wake mkubwa na ushawishi alio nao katika taifa letu ndio maana Mh Rais wetu na mwenyekiti wetu Mh Dkt Mama Samia Suluhu Hasssan aliamua amrejeshe uongozini ili aje afanye kazi ya kukijenga na kukiimarisha chama .
Wewe huoni hadi CHADEMA wakisikia jina lake wanapata presha na kupoteza ufahamu?
Jifunze kuandika ndiyo ueleweke. Watu mumesoma MEMKWA mnataka na nyinyi muandike JF?TEC st.peters Kila JP anapoenda kusali!!
Kama ilivyovuja mkataba wa DP world!
Kwani Dp ilivujaje!!? Yes ndio mwenuekiti na amiri jeshi mkuu!Sasa mzigo ulivujaje!!?
Jiulize kwanza hapo!!
Nchimbi na Kikwete Kumbe picha haziendi ??!Huyo GS mgeni wa CCM si mtu mwaminifu kwa Mamlaka hata japo kwa kiasi, na ndiyo maana alimgomea Kikwete na maamuzi yake ya 2015. Mbaya zaidi, alimgomea huku akiimba na mapambio kwa kupayuka na wazi akitambua alikuwa akifanya usaliti!
Nimhakikishie Samia, atambue anaye GS muunda makundi na asiye chelea kuunda maasi na asiye na uvumilivu hata kidogo!
Kingine, kwa hulka ya Emmanuel ni wazi pia hataweza kufanya kazi kwa amani na Paul Makonda. Hivyo, ni suala la muda tu wawili hao wataumizana na mmoja wao lazima atampisha nwingine kwa kupangiwa kazi nyingine.
Kwa hakika ya nafsi yangu, Nchimbi anaenda kutengeneza makundi ndani ya chama kama ilivyo kawaida yake.
Hiyo paragraph ya tatu inaeleweka.Huyo GS mgeni wa CCM si mtu mwaminifu kwa Mamlaka hata japo kwa kiasi, na ndiyo maana alimgomea Kikwete na maamuzi yake ya 2015. Mbaya zaidi, alimgomea huku akiimba na mapambio kwa kupayuka na wazi akitambua alikuwa akifanya usaliti!
Nimhakikishie Samia, atambue anaye GS muunda makundi na asiye chelea kuunda maasi na asiye na uvumilivu hata kidogo!
Kingine, kwa hulka ya Emmanuel ni wazi pia hataweza kufanya kazi kwa amani na Paul Makonda. Hivyo, ni suala la muda tu wawili hao wataumizana na mmoja wao lazima atampisha nwingine kwa kupangiwa kazi nyingine.
Kwa hakika ya nafsi yangu, Nchimbi anaenda kutengeneza makundi ndani ya chama kama ilivyo kawaida yake.
Siyo kosa lako Suzy, inaelekea kiongozi mzuri kwako ni yule anaekubali kila kitu kinachopendekezwa na mwenye mamlaka hata kama ni cha kijinga.Huyo GS mgeni wa CCM si mtu mwaminifu kwa Mamlaka hata japo kwa kiasi, na ndiyo maana alimgomea Kikwete na maamuzi yake ya 2015. Mbaya zaidi, alimgomea huku akiimba na mapambio kwa kupayuka na wazi akitambua alikuwa akifanya usaliti!
Nimhakikishie Samia, atambue anaye GS muunda makundi na asiye chelea kuunda maasi na asiye na uvumilivu hata kidogo!
Kingine, kwa hulka ya Emmanuel ni wazi pia hataweza kufanya kazi kwa amani na Paul Makonda. Hivyo, ni suala la muda tu wawili hao wataumizana na mmoja wao lazima atampisha nwingine kwa kupangiwa kazi nyingine.
Kwa hakika ya nafsi yangu, Nchimbi anaenda kutengeneza makundi ndani ya chama kama ilivyo kawaida yake.
ninachojua tu na nina uhakika nacho 100% ni kwamba makonda hajafikia hata tu 25% ya umafia alionao nchimbi hivyo awe makini mno yasije kumkuta na asije kuaminiHuyo GS mgeni wa CCM si mtu mwaminifu kwa Mamlaka hata japo kwa kiasi, na ndiyo maana alimgomea Kikwete na maamuzi yake ya 2015. Mbaya zaidi, alimgomea huku akiimba na mapambio kwa kupayuka na wazi akitambua alikuwa akifanya usaliti!
Nimhakikishie Samia, atambue anaye GS muunda makundi na asiye chelea kuunda maasi na asiye na uvumilivu hata kidogo!
Kingine, kwa hulka ya Emmanuel ni wazi pia hataweza kufanya kazi kwa amani na Paul Makonda. Hivyo, ni suala la muda tu wawili hao wataumizana na mmoja wao lazima atampisha nwingine kwa kupangiwa kazi nyingine.
Kwa hakika ya nafsi yangu, Nchimbi anaenda kutengeneza makundi ndani ya chama kama ilivyo kawaida yake.
Lakini Kimantiki Makonda ni aset zaidi ya Nchimbi! Hata Samia anajua hilo!Siyo kosa lako Suzy, inaelekea kiongozi mzuri kwako ni yule anaekubali kila kitu kinachopendekezwa na mwenye mamlaka hata kama ni cha kijinga.
Uchaguzi wa 2015 Kikwete alikuwa na mgombea wake mfukoni. Akina Nchimbi kama waNEC hawakumtaka. Wewe ulitakaje kwa mfano.
Wewe unataka katibu mkuu atakaemtii Makonda? Unachekesha, inaonekana wewe ni Sukuma gang
Makonda nae sio fala kama unavyodhani!ninachojua tu na nina uhakika nacho 100% ni kwamba makonda hajafikia hata tu 25% ya umafia alionao nchimbi hivyo awe makini mno yasije kumkuta na asije kuamini
Je na mkwere amekaajeKwani yeye Nchimbi anasemaje?
zaidi ya kutegemea ndumba hana jipya sasa huyo mwenzake kuanzia katika ndumba, umafia, mipango mipango, pesa za kimkakati na nguvu ya mafia wakubwa wa kisiasa nchini yuko vizuri na usisahau pia kuwa jamaa nchimbi pia ni mtu wa mfumo tena wale waliokuwa waandamizi kabisaMakonda nae sio fala kama unavyodhani!
Unayo haki na Uhuru wa maoni yako, lakini kusema kweli Makonda ni mzigo kwa CCM. Mbali na siasa za mabavu na kiki zisizokuwa na maana uaset wake unatoka wapi? Hata Sukuma Gang wenyewe wengi hawamkubali. Uteuzi wake kwenye nafasi hiyo ulenga ushawishi kwa kanda ya ziwa, lakini chair kashitukia baada ya kuona hakubaliki na ndiyo maana kamteuwe Nchimbi na siyo yeye baada ya kumfanyia figisu Chongolo aliyelazimishwa kujiuzuru?Lakini Kimantiki Makonda ni aset zaidi ya Nchimbi! Hata Samia anajua hilo!
Nchimbi yeye hatumii Ndumba? Unaushahidi Makonda anatumia Naomba?zaidi ya kutegemea ndumba hana jipya sasa huyo mwenzake kuanzia katika ndumba, umafia, mipango mipango, pesa za kimkakati na nguvu ya mafia wakubwa wa kisiasa nchini yuko vizuri na usisahau pia kuwa jamaa nchimbi pia ni mtu wa mfumo tena wale waliokuwa waandamizi kabisa
Makonda anakubali ndo maana hata wewe kila leo unamfatilia!Unayo haki na Uhuru wa maoni yako, lakini kusema kweli Makonda ni mzigo kwa CCM. Mbali na siasa za mabavu na kiki zisizokuwa na maana uaset wake unatoka wapi? Hata Sukuma Gang wenyewe wengi hawamkubali. Uteuzi wake kwenye nafasi hiyo ulenga ushawishi kwa kanda ya ziwa, lakini chair kashitukia baada ya kuona hakubaliki na ndiyo maana kamteuwe Nchimbi na siyo yeye baada ya kumfanyia figisu Chongolo aliyelazimishwa kujiuzuru?