Emmanuel Nchimbi atalipa kisasi

Usimbeze mtu kwakua kesho anaweza kua boss wako.

Nadhan kwa mwenye Akili timamu, kauli hii ya Makonda itamtia Maarifa !!.

2025, Rais sio Samia.
Namshauri bi tozo asikomalie vitu ambavyo vimemshinda, aridhike na na hii miaka kumi aliyotawala ksb hata uwezo wake umekuwa mdogo sana, itawapa waarabu na mafisadi wabobezi waitie inchi mifukoni mwao.
 
Muhimu IQ….
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hili nalo neno !
Mwalimu alisemaga wanatakiwa vijana waasi watakao wahoji viongozi wao sio kukubali kila kitu hata kama hakiko sawa. !!
 
Paulo Makonda anaondoka, Nchimbi amesema anapenda mijadala na watu wenye akili, sasa Makonda hana akili.

And, indeed, Makonda will be ousted unceremoniously.

Alikataa pema pa Chongolo, sasa kaletewa mwamba.

Kijana makonda moto wa kuotea mbali nchimbi nampa miezi 6. Hadi mwaka na atakuwa hana mvuto kabisa kisiasa atashuka sana. Na ataondilewa. Mapema san
 
Kijana makonda moto wa kuotea mbali nchimbi nampa miezi 6. Hadi mwaka na atakuwa hana mvuto kabisa kisiasa atashuka sana. Na ataondilewa. Mapema san
Makonda hana chama chake, chama ni CCM, Mtendaji Mkuu ni Nchimbi, na ndio accounting officer, na ameshika ajenda ya chama, lazima akae ndani ya mfumo
 
Sijuhi Watanzania tumerogwa na nani? Jambazi akiwaibia mnamuona ana akili sababu ana pesa kuliko nyie? Tueleze vyanzo vya hicho kipato chake, au kwa akili yako unadhani mshahara unaweza kumfanya mtu awe tajiri?
Wewe usipo kuwa na akili ya kuwekeza utaona kila mtu mwizi
 
Atafinywa tu akiIeta upuuzi, huyo ni system na anaifahamu vizuri sana system.
 
Reactions: Tui
Nifah una hoja nzuri
 
Nimekuuliza huyo mwinyi atafanya nn jipyaaa? Au una maslahi nae?

Hatutakiiiiii utawala wa kurithishanaaa, wapo wengi wa kushika dola na sio huyo mwinyi wako.
 
Paulo Makonda anaondoka, Nchimbi amesema anapenda mijadala na watu wenye akili, sasa Makonda hana akili.

And, indeed, Makonda will be ousted unceremoniously.

Alikataa pema pa Chongolo, sasa kaletewa mwamba.
Makonda mzee baba nilidude moja hivi hataeee...
Asipokaa sawa Nchimbi nae atarudi Songea kula Magimbi
 
Bwana Makonda hapa umejipakulia minyama mingi sana mkuu
 
Labda chadema ya kongo
 
Wale wakongwe wa siasa za nchi wanamkumbuka Kolimba. Baba wa taifa alibaini kuwa jamaa ni radical, akadhani kuwa kumuondoa kutoka kuwa katibu wa vyama vya wafanyakazi aje awe Katibu mkuu wa chama Kungemlainisha asihoji yale aliyoyaona yana ukakasi. Mwisho wa siku ndie aliye tamka kuwa kijani haina muelekeo, akaishia kuvuta ...... Akarestishwa in peace
 
Nimekuuliza huyo mwinyi atafanya nn jipyaaa? Au una maslahi nae?

Hatutakiiiiii utawala wa kurithishanaaa, wapo wengi wa kushika dola na sio huyo mwinyi wako.
Mmeshaambiwa itachapishwa fomu moja tu !
Biashara imeisha !
Ngoja tuone mwenye ubavu wa kuchapisha fomu zaidi ya moja !!
 
Mmeshaambiwa itachapishwa fomu moja tu !
Biashara imeisha !
Ngoja tuone mwenye ubavu wa kuchapisha fomu zaidi ya moja !!
Hawa wavimba macho wao hawana hata mgombe bado wapo busy na ku comment kuhusu mgombea wa CCM. Forum ni moja tu itachapishwa.Nyie mgombea wenu nani?
 
Uzuri wale wanaotarajiwa kuguswa na kisasi bado wako na kumbukumbu za matendo yao na wako alert vibaya mno. Haitakuwa rahisi hivyo na simshauri aanze na angle ya kisasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…