Ndio unatakiwa utoe pendekezo lako sasa nani anafaa, huna lazima ya kukubali kuwa Mwinyi.
We unadhani mafisadi ya kisukuma yaliyo kwenye system, wafanyakazi wa serikali na vigogo wa CCM waliokuwa wananufaika na vitega uchumi vya CCM yalikuwa na hamu na Magufuli wakati wa uongozi wake sikia tu hadithi za JF na sukuma gang (ni propaganda mfu). Embu kutana na wasukuma wa aina hiyo chuki yao kwa Magufuli wakimsimulia huyo
ChoiceVariable ana afadhali.
Watu wanaangalia nani anawafaa kwa maslahi yao, hakuna emotions huko serikalini.
Sasa wewe endelea kutaka kuona watu fulani hswafai sababu ya nafasi za awali za baba zao, au mahala walipotoka; badala ya kuangalia maslahi yako.