Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
Subiri utasikia Mavugo katimkia Yanga, tupo))
Uganda kuna club inaitwa Likizo Fc? au unasemea ya Denmark !!View attachment 434958
Mshambuliaji mahiri Raia wa Uganda, Emanuel Gabriel Okwi muda mfupi uliopita amesaini mkataba wa kuichezea Klabu yake ya zamani, Simba Sports Club.
Amesaini mkataba wa mwaka mmoja wa kuichezea Klabu yake hiyo ya zamani.
Kabla ya kujiunga leo na Simba alikuwa akiichezea klabu ya nchini Uganda ya Likizo FC.
Me ombi langu pamoja na kumsainisha Okwi tena lakini mavugo aendelee kubaki Msimbazi
Kama mavugo au mchezaji yoyote wa Simba atahamia yanga basi me binafsi sitoshabikia tena Simba maana hapo nitajua kuna game wanatuchezea viongozi Kwani inashindikana nini kuwekeana mikataba no kuuziana wachezaji kama ulaya Man U na LiverpoolSubiri utasikia Mavugo katimkia Yanga, tupo))
Okwi huyu huyu ambae huko aliko hata benci hakai ataongeza nini.
Hivi wako serious kweli? mchezaji alikua anachezea timu inaitwa Likizo Fc
View attachment 434958
Mshambuliaji mahiri Raia wa Uganda, Emanuel Gabriel Okwi muda mfupi uliopita amesaini mkataba wa kuichezea Klabu yake ya zamani, Simba Sports Club.
Amesaini mkataba wa mwaka mmoja wa kuichezea Klabu yake hiyo ya zamani.
Kabla ya kujiunga leo na Simba alikuwa akiichezea klabu ya nchini Uganda ya Likizo FC.
Huyo ni zilipendwa tayari. Kipa au beki anaweza kuwa na kiwango muda mrefu si fowadi. Kasugua sana benchi Ulaya. Afadhali anakuja kuivuruga Simba ili Yanga ipete bila shida.yanga kwishney....
Nonda shabaniOkwi ni mchezaji bora kabisa wa kigeni kuwahi kucheza VPL.
Welcome back Okwi. Mfalme amerudi.
Likizo FC kwa lugha ya kimichezo alimaanisha jamaa alikuwa hana timu hata kama alikuwa nayoUganda kuna club inaitwa Likizo Fc? au unasemea ya Denmark !!
Hivi kwan hakuna wachezaji wengine
Huyo ni zilipendwa tayari. Kipa au beki anaweza kuwa na kiwango muda mrefu si fowadi. Kasugua sana benchi Ulaya. Afadhali anakuja kuivuruga Simba ili Yanga ipete bila shida.
Niliotea sikuwepo. Muhimu zaidi kwa Yanga ni ubingwa mwisho wa msimu.Kwenye zile tano bila ulikuwepo uwanjani?.kama ulikuwepo basi yaishie hapo hapo nisije kukutonesha jeraha alilokuachia king okwi