Emmanuel Okwi asaini mkataba wa mwaka mmoja na Simba sports club

Emmanuel Okwi asaini mkataba wa mwaka mmoja na Simba sports club

Subiri utasikia Mavugo katimkia Yanga, tupo))
6be0cb93d8a7228dd0f8ccdcfc7d0b17.jpg
 
View attachment 434958

Mshambuliaji mahiri Raia wa Uganda, Emanuel Gabriel Okwi muda mfupi uliopita amesaini mkataba wa kuichezea Klabu yake ya zamani, Simba Sports Club.

Amesaini mkataba wa mwaka mmoja wa kuichezea Klabu yake hiyo ya zamani.

Kabla ya kujiunga leo na Simba alikuwa akiichezea klabu ya nchini Uganda ya Likizo FC.
Uganda kuna club inaitwa Likizo Fc? au unasemea ya Denmark !!
Me ombi langu pamoja na kumsainisha Okwi tena lakini mavugo aendelee kubaki Msimbazi
 
Subiri utasikia Mavugo katimkia Yanga, tupo))
Kama mavugo au mchezaji yoyote wa Simba atahamia yanga basi me binafsi sitoshabikia tena Simba maana hapo nitajua kuna game wanatuchezea viongozi Kwani inashindikana nini kuwekeana mikataba no kuuziana wachezaji kama ulaya Man U na Liverpool
 
Kama Timu yangu ya Simba imemsajili OKWI sababu ya Historia tu.. Viongozi wangu wamepotea sana.. Mavugo apewe muda
 
View attachment 434958

Mshambuliaji mahiri Raia wa Uganda, Emanuel Gabriel Okwi muda mfupi uliopita amesaini mkataba wa kuichezea Klabu yake ya zamani, Simba Sports Club.

Amesaini mkataba wa mwaka mmoja wa kuichezea Klabu yake hiyo ya zamani.

Kabla ya kujiunga leo na Simba alikuwa akiichezea klabu ya nchini Uganda ya Likizo FC.

Safi kwa Yanga hilo.

Okwi hana jipya tena. Sana sana atawapoteza akina Kichuya wakiona anathaminiwa kuliko wao walioifikisha timu hapa ilipo. Miaka inaenda, Okwi hawezi kucheza mpira ule ule wa awali. Angekuwa na kiwango, huko ulaya angepata namba. Mambo yake ya kuchelewa kurudi akienda Uganda Omog hatavumilia.

Yanga kombe hilo mlangoni!
 
Huyo ni zilipendwa tayari. Kipa au beki anaweza kuwa na kiwango muda mrefu si fowadi. Kasugua sana benchi Ulaya. Afadhali anakuja kuivuruga Simba ili Yanga ipete bila shida.

Kwenye zile tano bila ulikuwepo uwanjani?.kama ulikuwepo basi yaishie hapo hapo nisije kukutonesha jeraha alilokuachia king okwi
 
Ndio kaja kuvuruga timu nzima, subirini mzunguko wa pili mtaona, huyu kaja kushusha morali ya wachezaji wengine, kwa sababu lazima wachezaji wenzake hawatapenda anavyohudumiwa ataonekana Ndio Kila kitu, kitachofuata subirini majibu uwanjani
 
Kwenye zile tano bila ulikuwepo uwanjani?.kama ulikuwepo basi yaishie hapo hapo nisije kukutonesha jeraha alilokuachia king okwi
Niliotea sikuwepo. Muhimu zaidi kwa Yanga ni ubingwa mwisho wa msimu.
 
Back
Top Bottom