Emmanuel Shangai (CCM) Jimbo la Ngorongoro ashinda Uchaguzi. Ndiye mrithi wa William Tate Ole Nasha (RIP)

Wewe CHAWA,huo uchaguzi walikuwa wanashindana na nani?

 
Nimecheka kwa nguvu, eti wapiga kura ni 62,000+ kwenye wapiga kura 100,000+. Hakuna uchaguzi tena utafikisha hata 20% ya wapiga kura iwapo tume na vyombo vya dola vitaendelea kwa utaratibu huu. Watanzania wameshaamka, endeleeni kujidanganya na idadi ya wapiga kura ya kupika, kumbe zama zimewaacha. Hiyo idadi ndogo iliyojitokeza ndio hizo kura huwa mnapata ccm miaka yote, kisha mnajitangaza kwa kutumia vyombo vya dola. Kama hata Wamasai wameamka nani amebaki?
ani hawajaibiwa kura maana kila mda wwo ndo huibiwa kura yaan badala ya kuwekeza wao propaganda ndo kila kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni 54%
 
Vyama gani vikuu vilivyosusia huo uchaguzi?
 
#HAKUNA KAMA CCM
 
#Kaziiendelee
 
Hizo ni takataka tu, Tanzania hakuna uchaguzi na wala hakuna wapiga kura kiasi hicho waliojitokeza kwenda kupiga kura ni maigizo ya hiyo inayojiita Tume Ya Uchaguzi.

Eti uchaguzi unafanyika na huku moja ya chama kinachoshiriki kwenye huo uchaguzi ndicho kinachosimamia huo wanaoita "Uchaguzi", ni ujinga wa kuchezea akili za watu.

Jana tu wamecheza Simba na Yanga, lakini hatukusikia kwamba mwamuzi ni Haji Manara. Serikali iache ujinga, kama hawataki uchaguzi wasiharibu hela za wananchi kwani hii nchi bado ni maskini sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…