Mwanahabari wa Taifa
JF-Expert Member
- May 27, 2020
- 1,588
- 956
Hajapata kura hata mojaAliyefuata japo kwa mbali ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajapata kura hata mojaAliyefuata japo kwa mbali ngapi?
Wewe CHAWA,huo uchaguzi walikuwa wanashindana na nani?MATOKEO YA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA NGORONGORO,
===
Jumla ya Wapigakura Waliojiandikisha mwaka 2020 walikuwa ni 115,538
Jumla ya wapigakura Waliopiga kura kwenye marudio ya Uchaguzi wa Jimbo la Ngorongoro wa tarehe 11|12|2021 ni 62,528
Jumla ya Kura halali ni 62,461 huku jumla ya kura 67 zikikataliwa,
MATOKEO KWA MUJIBU WA MSIMAMIZI WA UCHAGUZI,
_____________________________
Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi Ndg Emmanuel Shangai amepata jumla ya kura 62,017 sawa na 99.18% ya kura zote zilizopigwa,
Mwitikio wa wapigakura ni 54% ya wapigakura wote waliojiandikisha mwaka 2020.
#Hakika Watanzania bado wanaimani kubwa sana na ccm-Tanzania,View attachment 2041329
Ulikuwa unapandia wapi kakaNdio maana gari za kwenda ngorongoro zilikua shida, kumbe kuna watu wanasafirishwa kwenda kujazia upigaji kura.
ani hawajaibiwa kura maana kila mda wwo ndo huibiwa kura yaan badala ya kuwekeza wao propaganda ndo kila kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Yuko mbinguniHuyo Ole Nasha alipatwa na nini?
Ni 54%Nimecheka kwa nguvu, eti wapiga kura ni 62,000+ kwenye wapiga kura 100,000+. Hakuna uchaguzi tena utafikisha hata 20% ya wapiga kura iwapo tume na vyombo vya dola vitaendelea kwa utaratibu huu. Watanzania wameshaamka, endeleeni kujidanganya na idadi ya wapiga kura ya kupika, kumbe zama zimewaacha. Hiyo idadi ndogo iliyojitokeza ndio hizo kura huwa mnapata ccm miaka yote, kisha mnajitangaza kwa kutumia vyombo vya dola. Kama hata Wamasai wameamka nani amebaki?
Sasa naamini madikteta wote wako sawa, hakuna tofauti kati ya mwendazake na huyu wa sasaCCM bado wanaendelea kuupiga mwingi.
Ni 54%
Kwanini nyie hamkuja?Sasa naamini madikteta wote wako sawa, hakuna tofauti kati ya mwendazake na huyu wa sasa
Vyama gani vikuu vilivyosusia huo uchaguzi?MATOKEO YA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA NGORONGORO,
Jumla ya Wapigakura Waliojiandikisha mwaka 2020 walikuwa ni 115,538
Jumla ya wapigakura Waliopiga kura kwenye marudio ya Uchaguzi wa Jimbo la Ngorongoro wa tarehe 11|12|2021 ni 62,528
Jumla ya Kura halali ni 62,461 huku jumla ya kura 67 zikikataliwa,
MATOKEO KWA MUJIBU WA MSIMAMIZI WA UCHAGUZI,
Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi Ndg Emmanuel Shangai amepata jumla ya kura 62,017 sawa na 99.18% ya kura zote zilizopigwa,
Mwitikio wa wapigakura ni 54% ya wapigakura wote waliojiandikisha mwaka 2020.
Hakika Watanzania bado wanaimani kubwa sana na ccm-Tanzania.
=====
Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini leo Jumapil imemtangaza Bw. Emmanuel Lekishon Shangai wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa ndie Mshindi katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Ngorongoro kwa kupata kura 62,017 Kati ya kura halali 62,461. Uchaguzi ambao vyama vikuu vya
Upinzani viliususia
Mgombea wq ACT Wazalendo kapata kura 170 na Saimon Ngilisho wa Demokrasia Makini kapata kura 105.
View attachment 2041384View attachment 2041385
Dhidi ya chama kikuu ACT wazalendo walioko madarakani huko visiwani.Ameshinda dhidi ya vyama gani? Mnaona hata aibu kuweka watu aliogombea dhidi yao?!!
Soma habari yote kaeleza Kila kitu.Aliyefuata japo kwa mbali ngapi?
#HAKUNA KAMA CCMMATOKEO YA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA NGORONGORO,
Jumla ya Wapigakura Waliojiandikisha mwaka 2020 walikuwa ni 115,538
Jumla ya wapigakura Waliopiga kura kwenye marudio ya Uchaguzi wa Jimbo la Ngorongoro wa tarehe 11|12|2021 ni 62,528
Jumla ya Kura halali ni 62,461 huku jumla ya kura 67 zikikataliwa,
MATOKEO KWA MUJIBU WA MSIMAMIZI WA UCHAGUZI,
Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi Ndg Emmanuel Shangai amepata jumla ya kura 62,017 sawa na 99.18% ya kura zote zilizopigwa,
Mwitikio wa wapigakura ni 54% ya wapigakura wote waliojiandikisha mwaka 2020.
Hakika Watanzania bado wanaimani kubwa sana na ccm-Tanzania.
=====
Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini leo Jumapil imemtangaza Bw. Emmanuel Lekishon Shangai wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa ndie Mshindi katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Ngorongoro kwa kupata kura 62,017 Kati ya kura halali 62,461. Uchaguzi ambao vyama vikuu vya
Upinzani viliususia
Mgombea wq ACT Wazalendo kapata kura 170 na Saimon Ngilisho wa Demokrasia Makini kapata kura 105.
View attachment 2041384View attachment 2041385
#KaziiendeleeMATOKEO YA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA NGORONGORO,

AlifarikiHuyo Ole Nasha alipatwa na nini?