Mwanafalsafa
Platinum Member
- Jun 24, 2007
- 673
- 865
Acha ujinga.Kama wageni ni weledi kuliko wenyeji Acha watutawale tuu, imagine mbantu mwenzetu alikuwa anatukatia umeme Kwa maksudi tuuu, hata Yusuphu ( mwisraeli) Kwa weledi wake alijikuta ni Waziri mkuu Misri ... Watu wanasema Maghufuli alikuwa mrundi na mkapa alikuwa mtu wa msumbiji, ni mara Mia tu