Kumbe wewe ni bwa mdogo chaubishi, halafu unatutukana wakubwa zako.
Elfu kumi ya kwanza ni hii hapa dogo, angalia sura hiyo kama unaijua:
View attachment 2472643
Halafu Mkapa aliposhika hatamu ndo akaleta busara nzuri ya kuachana na utamaduni wa kuuza sura kwenye noti akaleta elfu kumi ya twiga:
View attachment 2472645
Kama umewahi kumsikia mtu anayeitwa
Mr. Bluu ubluu wake ulikuwa ni kwa yeye kujifananisha na hizi noti za mwanzoni za elfu kumi (yaani kwamba yeye ndo alikuwa anajiona yuko juu kama Tshs. elfu kumi.)