Umetembea mikoa mingapi au Wilaya ngapi za Tanzania? Kukukumbusha tu size ya Tanzania ni kubwa kuliko combined nchi za Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi. Population ya Zambia haijafika watu milioni 20, Tanzania ni zaidi ya milioni 60. Mpangilio huu wa mikoa, Wilaya, kata na vijiji huenda ndio unaona nchi yetu haina maeneo yenye vikundi vya uasi na kuhatarisha amani kama unsvyoskia huko Congo, Uganda, Sudani nk. Kweli, Serikali kubwa ni mzigo lakini usifanye conclusion kwa kuangalia upande mmoja tu.