Hizo zilikuwa ni "MUST DO" policies zilizozaa kilichoitwa structural adjustment program (SAP). Nadhani hii SAP itakuwa ulisomeshwa kidogo hata kama ulisoma HKL!
Sina hakika kama ulikuwepo, lakini kuanzia mwanzo I mwa 1980s, uchumi wetu uko collapse kabisa kiasi kula mboga bila chumvi ni jambo la kawaida, hakukuwa na sabuni zaidi ya kutumia tunda za mti wa mharita, nguo ni yale mashuka meupe, na mahindi ya msaada ya njano yaliingizwa nchini kuokoa maisha. Ndipo wenye akili walikaa huko Bretton woods, Washington na kuja na hiyo SAP. Sasa kusema sie wa Dodoma, Washington inatuhusu nini ni kama kutoitendea haki akili yako.