Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Katibu Mkuu.Hivi Gavana wa BoT na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Nani mkubwa wa cheo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katibu Mkuu.Hivi Gavana wa BoT na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Nani mkubwa wa cheo?
Kumbe wewe ni bwa mdogo chaubishi, halafu unatutukana wakubwa zako.Noti ya 10,000 imeanza kutumika wakati wa MKAPA.
Umetembea mikoa mingapi au Wilaya ngapi za Tanzania? Kukukumbusha tu size ya Tanzania ni kubwa kuliko combined nchi za Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi. Population ya Zambia haijafika watu milioni 20, Tanzania ni zaidi ya milioni 60. Mpangilio huu wa mikoa, Wilaya, kata na vijiji huenda ndio unaona nchi yetu haina maeneo yenye vikundi vya uasi na kuhatarisha amani kama unsvyoskia huko Congo, Uganda, Sudani nk. Kweli, Serikali kubwa ni mzigo lakini usifanye conclusion kwa kuangalia upande mmoja tu.Mkuu bila ya kuwa tayari kufanya maamuzi magumu nchi haitasogea mbele, huwezi kuishi kwa mazoea na uoga, ni wakati wa kufanya maamuzi magumu ikiwa ni pamoja kupunguza ukubwa wa serikali, tunahitaji wabunge wachache, mikoa na wilaya chache, fedha itakayookolewa utumike kusukuma services delivers kwa watanzania, mtanzania anahitaji maisha bora SIO nchi kuwa na mikoa mingi!,we just need 10 to 15 ,majirani zetu wote hawazidi mikoa 20!,tembelea Zambia 🇿🇲 sasa au soma zaidi kinachofanyika pale, wanafanya maamuzi magumu ya kimaendeleo
Hapo SA, yes Reserve Bank yao ipo huru na ndio inayopanga repo rates ya nchi, kiuchumi nchi unaharibiwa na black leaders, usilaumu RB yao,hadi leo hakuna nchi inayotawaliwa na black leader hapa duniani iliyo prove wrong kutoka kauli ya kaburu P.W.Botha kuhusu watu weusi, uchumi wa SA kuwa chini ya makaburu sio kweli,uchumi wetu upo mikononi mwetu je tunaendelea?pale BOT ni scandal after scandal za ufisadi, simple solution kuzuia hii ni kubinafisisha BOT ili iendeshwe kitaalamu zaidi na mandates zake ziwe kwa nchi SIO politiciansUjinga gani huu. Unafikiri BOT wakiachwa bila kudhibitiwa na serikali ndio watasaidia uchumi wa nchi kama yetu?
Sisi sio uingereza bhana. Hata hapo south afrika bank kuu iko huru na hisa ni makaburu ila inasaidia nini kukwamua uchumi kutoka mikononi kwa makaburu?
Awamu ya kwanza hadi ya tatu BOAT walikua kama kisiwa serikali haingilii. Bila shaka kama hamjui ni wizi mtupu ulikua unafanyika. Yule mbunge wa butiama kofia tarabushi mwenye firm ya sheria kapiga kupindukia pale benki kuu. Jpm alivyokuja kumbana akasusa ubunge akakimbilia kuishi miami marekani na wanae kula matunda ya ufisadi.
Kuna yule daudi balali mkapa alimleta toka marekani. Pale BOAT wahindi matajiri wakiongozwa na andy chandy ndio wakawa wanapanga mambo. And then mtakumbuka ile kashfa kubwa ya epa.
Mlaumuni jk kwa mengine lakini alikataa eti uhuru wa benki kuu kwa nchi kama yetu na kuanza kudhibiti mambo pale.
Mkuu government work in complicated way,jamaa kauliza ki cheo nani ni Mkubwa jibu ni Katibu Mkuu-B.O.T ni taasisi ipo chini ya Wizara ya fedha,na kimuundo wa majukumu ana riport kwa Katibu Mkuu Wizara ya Fedha.Gavana wa benk kuu cheo kikubwa sana, gavana ana report kwa Rais apitii wizarani.
Katibu mkuu haingii kwa gavana kivyovyote
Ni sawa na ulinganishe katibu mkuu wa wizara ya ulinzi. Na mkuu wa majeshi CDF nani yupo juu
Ama ulinganishe katibu mkuu wizara wa mambo ya ndani na IGP nani yupo juu ?
Ujue kuna watu wakisikia Taasisi Fulani ni kubwa ina jitegemea huwa wanadhani Kiongozi wake itakuwa Mkubwa.Nilitarajia hili swali kuulizwa. Katibu Mkuu Wizara ya Fedha ni PST na PMG (mwenya hazina na mlipaji mkuu). Katibu Mkuu Wizara ya Fedha ndiye anaidhinisha malipo yoote ya Serikali na kumuamuru Gavana atoe hela. BOT, TRA ni Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Fedha na bosi wao ni Katibu Mkuu. Hivyo KM ni mkubwa kuliko Gavana (plz msiniulize kuhusu fulusi).
Watu kujenga sio shida. Mfumo wa Nyerere ulikuwa tofauti na mfumo wa Mwinyi. Mfumo wa Nyerere ni wa serikali inasimamia karibia kila kitu. Ni mfumo unaohitaji mtu ambaye ameishinda tamaa ya pesa. Nyerere aliishinda tamaa ya pesa. Mwinyi hakuishinda. Familia yake iligubikwa na kashfa kibao za kutumia wadhifa wa baba yao kujitajirisha na kuishi kwa anasa.Si afadhali watu waliaza kujenga kipindi.hicho.kwa hiyo inamaanisha watu ndio walipata pesa za kujenga.ukweli usemwe nyerere alichoweza ni kututafutia Uhuru tu uchumi aliharibu sana
Kumbe mzito kuelewa.Unataka kusema nini?
Mkuu mimi ninaongelea zaidi kiuchumi sio kisiasa, na tusiendelee kuishi kwa mazoea yenye uoga, huwezi uchumi ukawa unakua kwa 5% to 6%na population tunaongezeka kwa more than 3%,huu ni upumbavu wa hali ya juu, why sisi tuwe 60M na Botswana wawe 2M?,huwezi kuzaa wakati uwezo wa kutunza watoto wako hauna!,ufinyu wa kielimu kwa watanzania ndio mtaji wa politicians wetu,unaambiwa fatwa watoto na wewe unawasikiliza na kuzaa mitoto mingi wakati huwezi kuwamudu kuwatunza!,na awamu ya kwanza walionywa kuhusu ongezeko la watu nchini ila Rais wake akaogopa kuwachukiza watawala wa vatican!(wao Sera yao ilikua watu wazae tu bila kuangalia je uchumi utaendana na ongezeko lao),masuala ya vita,usalama naona politicians wetu wametu brain wash !,ukubwa wa nchi sio kibali cha kuzaliana kama nzige, goggle ukubwa wa Botswana na Tanzania, tofauti labda ni 100, 000 square km, wenzetu wapo 2M na sisi 60M, hii ni craze kabisaUmetembea mikoa mingapi au Wilaya ngapi za Tanzania? Kukukumbusha tu size ya Tanzania ni kubwa kuliko combined nchi za Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi. Population ya Zambia haijafika watu milioni 20, Tanzania ni zaidi ya milioni 60. Mpangilio huu wa mikoa, Wilaya, kata na vijiji huenda ndio unaona nchi yetu haina maeneo yenye vikundi vya uasi na kuhatarisha amani kama unsvyoskia huko Congo, Uganda, Sudani nk. Kweli, Serikali kubwa ni mzigo lakini usifanye conclusion kwa kuangalia upande mmoja tu.
Dogo ni mweupe huyo, nimeshamwelimisha tayari.Hawa watu wanaishi kwa hearsay za mitaani na hawana mpango wa kujishughulisha na ukweli. Ni jamii ya akili za mwendazake ambapo anaweza kumchukia mtu bila sababu halisi, almuradi ameaminishwa hivyo.
Anaenda kuwa Waziri wa mambo ya ndani ya nchi.Kuna kila dalili Waziri wa Fedha akateuliwa kuwa Waziri wa Kilimo
Magufuli ana mazuri yake na mabaya yake. From economic and political, perspectives, Magufuli is worst president ever. Uzuri wa Magufuli umeegemea kwenye ukweli kwamba he was a better president in uncivilized society, Tanzania being of it. Sehemu kubwa ya jamii yetu (kutokana na elimu dunk yetu), ipo kama wanyama. Haiwezi kuishi kwa kanuni. Lakini kwenye civilized society, Magufuli hana nafasi.Kama una akili ndogo huwezi kumwelewa Magufuli hata siku moja. Utabaki kuimba korasi za "ameua demokrasia" na "ameminya uhuru"
Ni suala la mudaBado Kassim Majaliwa subirini ngojeni baraza la mawaziri livunjwe naye atemwe ila Samia anatupeleka pabaya japo mnashangilia kila teuzi zikifanyika. Hivi hao mgambo wapo tuu wakiangalia haya??
Na hapa ulitaka kusema nini?Kumbe mzito kuelewa.
Nipo nawe kwenye hiyo paragraph yako ya mwisho tu, ni wajibu wa serikali kupeleka kwanza social services kwenye eneo ,then wananchi ndio wanakwenda kujenga sio other way round, serikali inatakiwa ipime viwanja,then ipeleke maji,umeme, njia za kimawasiliano, shule, zahanati, shopping malls, police station na fire station ,then ndio wananchi wanakwenda kujenga kwa kufuata mipango iliyopangwa na serikali, na elewa mjengaji binafsi akiamua kufanya mabadiliko yeyote labda kuongeza vymba ni LAZIMA apate ridhaa ya jirani zake na kibali kutoka serikali, huu ndio utaratibu wa kisheria uliopo hapa nchini, Leo wananchi wanajenga pale jangwani (DSM),Serikali inapeleka umeme, maji then inaamua kuwabomolea waliojenga pale!,prove me wrong kuwa hii sio matokeo ya kuishi in a pithole country!Watu kujenga sio shida. Mfumo wa Nyerere ulikuwa tofauti na mfumo wa Mwinyi. Mfumo wa Nyerere ni wa serikali inasimamia karibia kila kitu. Ni mfumo unaohitaji mtu ambaye ameishinda tamaa ya pesa. Nyerere aliishinda tamaa ya pesa. Mwinyi hakuishinda. Familia yake iligubikwa na kashfa kibao za kutumia wadhifa wa baba yao kujitajirisha na kuishi kwa anasa.
Suala la mipango miji ni suala la serikali kutambua kwamba wananchi hatuwezi kujipanga wenyewe, Wanachi tukiachwa tujikatie maeneo na viwanja wenyewe ndo unapata mkutano wa nzi uliopo Dar es Salaam. Sasa hilo halihusiani kabisa na suala la wananchi kujenga au kutojenga.
Serikali inatakiwa iwe mbele kupima maeneo ili wanachi wanapokwenda kujenga wanapata viwanja vilivyopimwa wanajenga kwa mpangilio.
Sio nilitaka. Nimeshakisema kakisome. Ambapo hujaelewa ndo uulize swali. Yaani ukiwa unauliza swali kuhusu andiko inatakiwa unanukuu sehemu ambayo hujaelewa.Na hapa ulitaka kusema nini?
Hakuna jamii isiyokuwa na kanuni. Sema wewe ndo unakuwa hujaelewa kanuni zao, au umezidharau. Mfano lugha kama hiyo unayotumia ya "uncivilized society" ni lugha ya dharau.Magufuli ana mazuri yake na mabaya yake. From economic and political, perspectives, Magufuli is worst president ever. Uzuri wa Magufuli umeegemea kwenye ukweli kwamba he was a better president in uncivilized society, Tanzania being of it. Sehemu kubwa ya jamii yetu (kutokana na elimu dunk yetu), ipo kama wanyama. Haiwezi kuishi kwa kanuni. Lakini kwenye civilized society, Magufuli hana nafasi.
Na hapa unataka kusema nini?Sio nilitaka. Nimeshakisema kakisome. Ambapo hujaelewa ndo uulize swali. Yaani ukiwa unauliza swali kuhusu andiko inatakiwa unanukuu sehemu ambayo hujaelewa.
Tusiishi kwa mazoea mkuu, wenye hisa zao pale BOT hawataruhusu UFISADI huo, mazingira ya sasa ndio unaruhusu ufisadi huu, politicians ndio wanatupangia maisha!na hatuwezi to push them back, mtaji wao ni uoga wa kizuzu wa middle classUwaache wenyewe bila usimamizi ili money laundry ishike hatamu.
Hizi nchi zetu huwezi kucha taasis km BOT ijiachie utavuna mabua.
Kuna technicalities kali sana hapa. Ulichosema ni sahihi na kinyume chake ni sahihi pia.Gavana wa benk kuu cheo kikubwa sana, gavana ana report kwa Rais apitii wizarani.
Katibu mkuu haingii kwa gavana kivyovyote
Ni sawa na ulinganishe katibu mkuu wa wizara ya ulinzi. Na mkuu wa majeshi CDF nani yupo juu
Ama ulinganishe katibu mkuu wizara wa mambo ya ndani na IGP nani yupo juu ?