Emmanuel Tutuba ateuliwa na Rais Samia kuwa Gavana wa Benki Kuu (BoT)

Acha ujinga.
 
Nadhani unaweza kubuni nani katoa hii commentπŸ˜‚. Angalia hii '...kijana kuwa na shukurani'
Unadhani nani katoa hii commentπŸ€”.. ukiacha jina lake la jf
Mzee marope.
 
Hivi Gavana wa BoT na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Nani mkubwa wa cheo?
BoT na Wizara ya Fedha; ipi ni kubwa kuliko nyingine?.

Issue haoa nadhani, hii ya BoT ni post ambayo ni technical mno na hivyo inahitaji mtu ambaye amebobea kwenye maswala ya fedha. Hata hivyo, ukiniambia mimi nichague post ipi kati ya hizi mbili, nachagua ile ya BoT
 
naona mihimili mmoja baada ya mwengine inapanguliwa kupanga safu mpya.
 
Means kwako USA ndio kioo chako fair enough, jilinganishe na mambo mengine na USA na nchi yetu, coding n programming ni some muhimu ndani ya USA, sijui hiyo imeitoa wapi
Everything is important. Hao Wamarekani hawajaanza na coding. Hata sisi tutafika tu huko.
 
Will be very big mistake kumtoa Bashe pale Kilimo... Yet I agree with you kuwa na waziri mpya pale fedha, hasa Kimei.. If wishes were horse [emoji206] lakini...
Kimei anaponzwa na ugeni katika siasa hana chawa wala connection tu basi lakini kama rais anataka uchumi uliotukuka amteue huyu ndugu uwaziri wa uchumi na mipango hatojutia uteuzi huo.

Jamaa kichwa sana kwenye masuala ya pesa uthibitisho ni kaondoka CRDB inapumulia gas sasa hivi!
 
Mpumbavu wewe
Noti 10k ilianza 1992 . Uwe unaficha upumbavu wako madhara ya kuhudhuria madrassa na kuacha shule ndio unayaona sasa
Noti ya kwanza ya 10000 Ilitolewa na BOT mwaka 1995

Mwaka 1992 ilitolewa noti ya kwanza ya 1000
 
KAKA MKUU TAYARE MTU KESHAFIKA MTWARA NAOMBA MUONGOZO NA MWELEKEO JOHN BADO ANAPAMBANA NA MAJANGA YAKE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…