Namtakia ushindi wa kishindo Emmanuela, mgombea ubunge jimbo la Isimani kupitia CCM.πWapiga Kura 222,218 walioandikishwa katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura watashiriki kwenye uchaguzi mdogo wa Ubunge katika Jimbo la Isimani lililopo Halamashauri ya Wilaya ya Iringa Mkoani Iringa na Kata 12 za Tanzania Bara.
Jaji Mwambegele amesema vituo vitafunguliwa saa 01:00 asubuhi na kufungwa saa 10:00 jioni.
No reform no electionNamtakia ushindi wa kishindo Emmanuela, mgombea ubunge jimbo la Isimani kupitia CCM.π
Mungu Ibariki Tanzania
hiyo nonsense inawatesa sana sasa gentleman π€£No reform no election
Tanganyika na Zanzibar yake hakuna kitu kinachoitwa UCHAGUZI , Huo ni uchafuzi kama machafuzi mengine waliyoyafanya CCM toka wakati wa God father wake NyerereWagombea 108 kutoka Vyama vya Siasa 17 wanatarajiwa kuwania nafasi za Ubunge na Udiwani katika uchaguzi wa leo Juni 1, 2026, Jimbo la Ismani, mkoani Iringa, pamoja na Kata 12 za Tanzania Bara.
Jimbo la Ismani, wagombea 17 wanachuana kuwania nafasi ya Ubunge. Kati yao, wagombea 8 (asilimia 47.06) ni Wanaume na wagombea 9 (asilimia 52.94) ni Wanawake.
Upande wa Kata 12 zinazofanya uchaguzi mdogo wa Udiwani, jumla ya wagombea 91 wanashiriki, miongoni mwao, wagombea 61 (asilimia 67.03) ni Wanaume na wagombea 30 (asilimia 32.97) ni Wanawake.
UPDATES
No Reform No ElectionWagombea 108 kutoka Vyama vya Siasa 17 wanatarajiwa kuwania nafasi za Ubunge na Udiwani katika uchaguzi wa leo Juni 1, 2026, Jimbo la Ismani, mkoani Iringa, pamoja na Kata 12 za Tanzania Bara.
Jimbo la Ismani, wagombea 17 wanachuana kuwania nafasi ya Ubunge. Kati yao, wagombea 8 (asilimia 47.06) ni Wanaume na wagombea 9 (asilimia 52.94) ni Wanawake.
Upande wa Kata 12 zinazofanya uchaguzi mdogo wa Udiwani, jumla ya wagombea 91 wanashiriki, miongoni mwao, wagombea 61 (asilimia 67.03) ni Wanaume na wagombea 30 (asilimia 32.97) ni Wanawake.
UPDATES
Namtakia ushindi wa kishindo Emmanuela, mgombea ubunge jimbo la Isimani kupitia CCM.π
Mungu Ibariki Tanzania
ushindi wa kishindo kwa CCM ni lazima na sio hiyari gentleman πHamjaua bado?
ushindi wa kishindo kwa CCM ni lazima na sio hiyari gentleman π
ni uchaguzi gentleman,kwani kuna mechi hapo ??
Lini kuliwahi kuwa na uchaguzi Tanganyika na zanzibar tokea 1964 ??ni uchaguzi gentleman,
mechi ilikua juzi PSG kamkanda aseno uefa π
ushindi wa kishindo kwa CCM ni lazima na sio hiyari gentleman π
unafanyika leo maeneo mbalimbali nchini, utafanyika tena 2029 serikali za mitaa, na 2030 utafanyika uchaguzi mkuu huru,wa wazi na wa haki gentleman.Lini kuliwahi kuwa na uchaguzi Tanganyika na zanzibar tokea 1964 ??
Gentleman,Bila kumwaga damu zamu hii? sisiemu bila damu hamnaga drama au show za namna hii, kwani mnashindana na nani?
Gentleman,
dhana potofu nonsense haziwezi kamwe kuzuia ushindi wa kishindo wa CCM katika kila uchaguzi katika nchi hii π